Kilimanjaro Stars 1 - 0 Malawi (CECAFA 2011)

Tupashane kinachoendeleea zidi ya Tanganyika aka Tanzania Bara zidi ya Malawi, je tutachomoka.....


Mungu ibariki Tanganyika, Mungu Ibariki Tanzania uwalaaaaaaaaaaaaaaaani wale wote wanaoizomea tanganyika...........
 
hadi sasa hivi kili wanacheza vizuri ila tatizo ninalo liona nikwamba wanarudisha mpira nyuma sana. Leo mussa hasani mgosi, said maulid, molali na ibrahim wapo nje. Mia
 
hussen javu, nudir bakar, nditi na ngasa ndo wameanza kwa upande wa mbele. katikati leo kili wamekaa vizuri na mbele wanatia moyo. Lakini cha ajabu malawi wanashangilia kwa sauti kuliko watanzania walio wengi uwanjani. Mia
 
Huwa nalazimika kukaza moyo kuangalia timu ya mpira wa miguu ya nchi yangu.....Anyway, uzalendo unanizidi ujanja
 
Leo SHOMARI KAPOMBE na NURDIN BAKAR wapo kwenye fomu. wanacheza vizuri sana. Mia
 
Back
Top Bottom