Haiuzwi. Wanabadili jina ili wakwepe kodi kama ilivyokuwa Sheraton, Royal Palms na sasa Movenpick. Wakibadili jina wanapata tax exempt for 5 years. Miaka 5 ikipita wanabadili jina tu. Wajinga ndio tuliwao
Jina Kilimanjaro linaanza kufutika taaaratiiibu kwenye majina ya vitu nchini mwetu. Huenda mwisho wa siku tukabaki na jina hilo kwenye bia tu manake na mlima huenda ukapata mwekezaji akaubadili na jina.
Wajinga ndio waliwao.. Mamlaka zinazohusika hawajastukia huu mchezo mchafu!?.
Mkuu sio kwamba hawajui, sema na 'waheshimiwa wamo humo humo' wanakamua kama hawana akili nzuri.
Naomba mnieleweshe wakuu. Binafsi nachojua ni kwamba jamaa wanapomaliza mkataba wao wa bure wa miaka m5 si mchakato unaanza upya wa kumpata mwekezaji mwingine-nikimaanisha tender inatangawzwa upya ili kumpata mwekezaji anayefaa. nakumbuka hii hotel ndiyo iliyomkosti sana masilingi baada ya kuchokoana sana na mzee Mengi. Binafsi nilidhani mchakato kama ule ungefuatwa tena, kumbe ni tofauti?
Kama ni hivyo basi, nomaaaaaaaa, maana na hao watakamua miaka mi5 tena bila kulipa kodi, then wanatamabaa kivyao, the cycle begins again.......... Buzz, mobitel, tigo,..........sheraton, movenpick.........., celtel, zain, airtel,........... jamani ongezeeni mengine mie nimeyasahau
Itakwisha CCM ikiondoka madarakani na kupatikana katiba ya ukweli, kamchezo ni kala kale celtel,zain,airtel, hata Hospital zimeanza kubadilishwa majina kuwafurahisha wazungu(WEILL BUGANDO).
nadhani baadae hata nchi yaweza kubadilishwa jina na kuitwa Ameri-Tanzania, au EuroTanza.kimsingi usemi wa wajinga ndio waliwao ndo unaotutesa watz,saa ya kuamka usingizini imefika,