Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
mkuu prodigal son asante saana...
tatizo wabongo wengi tunaamini ufisadi kiasi kwamba hata logic hatutaki kuitumia
hizo hoteli za sheraton mfano
zipo dunia nzima,sasa iweje tanzania tu ndo ziwe za kifisadi??????
na zipo katka nchi zingine ambazo kodi ni kubwa kuliko zetu........
ukweli ni kuwa hizo brand hotels nazo zinakuwa makini mno na kuchafuka majina
iwapo zitahusishwa na ufisadi
wabongo wengi hatutaki kutazama matatizo ya sekta ya utalii kwa upana wake
mfano hakuna airport ya kiwango huko serengeti,
na gharama za kutoka dar kwenda arusha au mwanza ni kubwa mno kuliko
gharama za kutoka london kwenda amsterdam,au beijing kwenda kuala lumpur
hatutazamii hayo
Mkuu tatizo ni mfumo wetu wa uongozi na utumishi wa umma ndio unaleta ufisadi na kutofautisha yale yanayojiri katika nchi nyingine nyingi. Refer to what is happening with Barrick under African Barrick Gold, Barrick ni kampuni kubwa sana ya uchimbaji wa dhahabu duniani, lakini matatizo ya kiufisadi ndio yanasikika hapa TZ kuliko sehemu zingine Barrick walipo na uwekezaji. Mbona hujiulizi kwanini?