Kilichonishangaza Rombo

Kilichonishangaza Rombo

ww ni mke au mume maana kama ni mume ni disgrace kutaja hilo neno ubuyu limekaa kikikekike
Wakati mwingine ni swagga tu wala halina maana uliyotafsiri wewe maneno yanavyoandikwa naamini yanaweza yakawa na maana mbili tofauti inategemea na mzungumzaji kalitamkaje!
 
My dear hutokea sana limeshawahi kunitokea nikiwa tanga nilienda sehemu inaitwa duga maforoni nilikua safari yangu iishie horohoro nilipofika hapo duga nikapata sms inatoka tigo ikinambia safaricom welcomes you to kenya nikawa nashangaa tu itakua rombo huko ulikokwenda kupo karibu Na Kenya Bila shak
 
Huku natamani sana kwenda... Kutalii..
 
Nilibahatika kwenda maeneo ya Rombo leo lakini nilipofika maeneo ya ROMBO MASHATI iliingia sms hii kwenye simu yangu.
Tigo welcome you to Kenya use data at lowest rate of $0.15MB on safaricom network.
Enjoy your stay.
Ina Maana Rombo nayo iko Kenya?
Simu yako ilisoma mtandao gani?
 
My dear hutokea sana limeshawahi kunitokea nikiwa tanga nilienda sehemu inaitwa duga maforoni nilikua safari yangu iishie horohoro nilipofika hapo duga nikapata sms inatoka tigo ikinambia safaricom welcomes you to kenya nikawa nashangaa tu itakua rombo huko ulikokwenda kupo karibu Na Kenya Bila shak
Kumbe madame s ukp karibu na zingibari,utakuwa unapatikana maeneo ya Tanga wewe.
 
Back
Top Bottom