Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
😂😂😂 huu ndio uzuri wa JF tunamalizana humu humu ukisoma ulichoandika hapa na shutuma ulizopewa humu kuwa umemuuza kapendela kwa vyombo vya dola basi hakuna ubishi kuwa kweli bro ulimuuza kabendela hivi madudu na ujinga wa makonda kweli wakumtetea au kwakua ni home boy mwenzako kanda ya ziwa moja
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Sasa inasaidia nini wakati Radio nyingi zinajiunga na BBC, DW, VOA na RFA na watu wengi ukifika wakati huo wanasogea kwenye redio zao na hapo wanakutana na hiyo habari ikiwa ya moto?
Ni kweli sio wengi wanao ingia kwenye mitandao, lakini wachache waingiao ndio mjadala wao mtaani hivyo kila mtu anajua na anajua fika kuwa serikali inaficha jambo hilo.
Watanzania kwenye akili wanajiuliza WHY?
 
Nimefungua redio nasubiri kusikia magazeti yatasemaje na kwa uzito gani. Kama hayaipi uzito habari hiyo nitasikitikia sana media zetu
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Mayalla
 
Haha haha mutuka munene kangii nzeraa wapi papaa mayala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajifanya kuwa hujui katika nchi ya puerto rico vyombo vya habari vilishawekwa mfukoni siku nyingi?Unajifanya ugandamizaji wa uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wa habari uliotajwa na michael pompeo kwenye lile tamko lake huujui?Wewe unaishi nchi gani au ni zezeta tu usiefuatilia vitu?
Nakubaliana nawe isipokuwa sentesi yako ya mwisho pale ulipoandika neno "ZEZETA"
Mwenyezimungu ndiye ajuaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Senseless
 
Hahaha, "Uhuru wa habari", Serikali ya USA inataka Serikali ya Tanzania iwapatie raia wake Uhuru huo

Wamarekani wanataka Watanzania wapate haki yao ya msingi ya kupata habari za uhakika na za kweli

Leo hii vyombo vya Habari ikiwemo TBC zimeficha hizi habari za Makonda kuzuiwa kuingia USA,

Vyombo vya habari kuzuia habari za Makonda kutoruhusiwa kuingia USA VIMEDHIHIRISHA kwa Serikali ya Marekani kuwa kweli Uhuru wa Habari UNAMINYWA Tanzania

Dunia Hivi sasa imekuwa ndogo hii ni karne ya "Information Technology " , ni ujinga kuzuia hizo habari kwani zimetapakaa kila kona ya media, Twitter, YouTube, Telegram, Instagram, Dw, BBC, VoA... . nk

Walichofanya vyombo vya habari vya Tanzania sio UZALENDO ni UJINGA
 
Na hii pekee itawaacha hao traitors katika aibu kubwa....Umoja wa Tanzania umeonekana jana na kuwatenga wale waliotanguliza maslahi yao binafsi peke yao kama yatima
 
Hahaha, "Uhuru wa habari", Serikali ya USA inataka Serikali ya Tanzania iwapatie raia wake Uhuru huo

Wamarekani wanataka Watanzania wapate haki yao ya msingi ya kupata habari za uhakika na za kweli

Leo hii vyombo vya Habari ikiwemo TBC zimeficha hizi habari za Makonda kuzuiwa kuingia USA,

Vyombo vya habari kuzuia habari za Makonda kutoruhusiwa kuingia USA VIMEDHIHIRISHA kwa Serikali ya Marekani kuwa kweli Uhuru wa Habari UNAMINYWA Tanzania

Dunia Hivi sasa imekuwa ndogo hii ni karne ya "Information Technology " , ni ujinga kuzuia hizo habari kwani zimetapakaa kila kona ya media, Twitter, YouTube, Telegram, Instagram, Dw, BBC, VoA... . nk

Walichofanya vyombo vya habari vya Tanzania sio UZALENDO ni UJINGA
Kama ni ujinga au uzalendo utaiona as from next week
 
I SEE...! Hata siamini kabisa kama ni wewe...
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P

Aisee!,hizi ndio thinks tanks za media industry za Tz

It's so amaizing,
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Yaani we lijamaa umekuwa lijinga kabisa kwa kujikomba kwenye huu utawala wa kishenzi. Shenzi kabisa
 
Back
Top Bottom