Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,276
- 72,488
sijakuuliza wewe mkuu lakini..punguza mchechetohivi wewe ni kilaza kiasi gani?
Umeshaambiwa kule kunakuaga na mapepo au wachawi hutumia maeneo hayo sasa huelewi nn tena hapo?
sijakuuliza wewe mkuu lakini..punguza mchechetohivi wewe ni kilaza kiasi gani?
Umeshaambiwa kule kunakuaga na mapepo au wachawi hutumia maeneo hayo sasa huelewi nn tena hapo?
sawaHata kama ni 1st to reply,, just soma nyuzi polepole, mbona jamaa kafunguka vizuri tu. Anyway avatar yako inasadifu uelewa wako
Jose bwana, hebu soma tena stori uielewe!Aiseee..pole mkuu sasa uhusiano wa mtoto kulia, wewe kupata ajali na kufilisika ni upi?
hahahahahahaaaaaaaaa huyo jamaa alienda kwa masharti ya mganga watu wanachimba kaburi usiku kucha na kulala juu ya makaburi mengine lakini hakuna madharaYaani NYIE NDIO MAJINI WENYEWE MMEZIDI KIWANGO CHA MAPEPO ACCORDING TO STORY
sijaelelewa kihivyo..pesa ni za majini (kwa mganga) au zilikuwa halaliJose bwana, hebu soma tena stori uielewe!
Bonge la swali hata Mimi nilitaka kuuliza hivyo?Hata wewe una element za kishirikina mkuu, kwa nini uende kusafisha makaburi saa kumi na mbili jioni na si asubuhi? Sisi tunasafisha makaburi kila mara na hakuna tabu tunayopata.
Nilimfuata mchungaji wa kanisa moja moja nikamwelezea mkasa wote,akaniambia ni hatari sana kuweka mazoea na makaburi,mtu anapokufa na kuzikwa,yeye halisi huondoka kabisa duniani na pale kaburini hubaki mwili tu ambao hauna uhai kama jiwe.
Kinaweza kuwa cha kweli ila ajali na kufilisika ni mambo ya kawaida kabisa....Wewe kuunganisha mambo ya makaburi ili upate sympathy ya kufilisika kwako ni akili za kishenzi kabisaWakuu, hiki ni kisa cha kweli kabisa.