Kilichonikuta baada ya kupalilia makaburi

Kilichonikuta baada ya kupalilia makaburi

Huyo mchungaji wako ni kati ya wale wahuni wanaokwenda jangwani na kusema waleteni wagonjwa ni waombee wakati Muhimbili iko hatua chache lkn hawaendi kuombea wagonjwa wa ukweli walioko Muhimbili.
 
Kwa mkristu anayeamini kuwa siku ya mwisho atafufuka hawezi kuogopa makaburi. Ni sehemu tu ambayo wote tutapumzika tukisubiri ujio wa Yesu.

Mchungaji ambae haamini wala kuheshimu makaburi ina maana hajaelewa kwa nini Yesu alikufa, akazikwa na akafufuka.

Kufilisika kwako kulianza na uendeshaji wa kasi wa gari uliosababisha hasara ya Mil. 15. Na kwa kuwa ulipatwa na mshtuko na hasara kulikofuatwa na kilio basi ni dhahiri uliacha kuishi "maisha chanya" ya kumtegemea Mungu na kufanya kazi. Hakukuwa na uhusiano wowote kati ya kufilisika, kulia kwa mtoto na Makaburi.
 
Kinachotazamwa ni nia
Huyo mchungaji tapeli wengine tumekuwa na bado tunaenda palilia lkn hakuna hayo ww sema uliwahi kufanya manyago yako tofauti na imani za kwenu inawezekana ulitaka maisha mazuri kupitia ushilikina
 
Back
Top Bottom