Kilichonikuta baada ya kupalilia makaburi

Dooooh pole sanaa mkuu, mie kitambo sanaa hua sinaga imani na haya makaburi yetu ya waafrica, huku mtu akifa haondoki jumla anageuka kua mzimu tu na kuanza kusumbua watu.
HA! HA! HA!

Balaa lake maadui zake wote mnalipata
 
Sitasahau maishani mwangu, ilikuwa ni mwaka 2011 niliposafiri na mke wangu pamoja na mwanangu kwenda nyumbani kijijini kusalimia.

Wakati huo mwanangu alikuwa na umri wa mwaka mmoja tu,baada ya kufika nyumbani tulipumzika na kisha kesho yake mida ya saa 12 jioni tulielekea makaburini mimi na mke wangu na mtoto wetu alibebwa mgongoni ,na mimi nilibeba jembe.

Baada ya kufika tu makaburini ,mwanangu aliyekuwa amelala mgongoni aliamka na kisha akaanza kupepesa macho huku na kule,akishangaa mandhari ya makaburini,mimi nilianza kupalilia makaburi na dk 5 baadaye mtoto akaanza kulia,mama yake alimshusha mgongoni ili amnyonyeshe lakini ndo alizidi kulia kana kwamba anachomwa moto.
Tulijaribu kumbembeleza mtoto lakini ndo alizidi kulia kwa kasi ya kutisha,sijawahi kuona mtoto akilia kama mwanangu siku hiyo .

Mtoto alilia hadi tukarudi nyumbani,kufika nyumbani ndo alilia zaidi huku akitutazama kwa jicho la huruma,hakuwa ktk hali ya kawaida hata uso wake ulibadilika kabisa.
Nakumbuka siku hiyo tulishindwa hata kula,mida ya saa 4 usiku mtoto alitulia akalala,tukabaki tunajiuliza ni kitu gani kilitokea,kesho yake nilipanga kuanza safari ya kwenda Dar kununua gari,nilikuwa na pesa za kutosha Benk zaidi ya sh mil 60 nilizokuwa nimezipata kwa biashara ya Dhahabu .

Siku nyingine iliyofuata nilianza safari ya kwenda Dar,nilifika salama na kufanikiwa kununua gari zuri la kutembelea,kutokana na uzoefu wangu mdogo wa kuendesha magari ilinibidi nikodi dereva,tulipokaribia kufika Manyoni Singida saa moja usiku,gari iliacha njia ikapinduka tukiwa na mwendo kasi,ajabu tulipona wote ila gari ikaharibika vibaya mno,kama ungeiona usingeamini kama watu walisalimika.

Gari ya sh mil 15 haikutamanika hata kidogo,usiku wa manane tukiwa pale msituni baada ya gari letu kupinduka,tulivamiwa na kundi la watu wasiojulikana,wakatupora kila kitu na jambo la kushangaza walikuwa na vifaa vya kufungua na kuchukua spea za gari,walichukua hadi tairi.

Alfajiri ikapita patrol ya police na kutupeleka hadi Manyoni mjini.
Nilirudi nyumbani nikilia kwa huzuni,mke wangu akanipa moyo,baada ya hapo niliendelea na bishara zangu nikaanza kufirisika tu,kila nalofanya haliendi,nikauza kila kitu hadi nyumba na kwenda kupanga,nilirudi nyuma na kuwa maskini wa kutupwa.
Hadi chakula na sabuni ya kuogea ama kufulia tu ikawa shida kuipata.

Nilimfuata mchungaji wa kanisa moja moja nikamwelezea mkasa wote,akaniambia ni hatari sana kuweka mazoea na makaburi,mtu anapokufa na kuzikwa,yeye halisi huondoka kabisa duniani na pale kaburini hubaki mwili tu ambao hauna uhai kama jiwe.
Kwa hiyo,mapepo ya uharibifu hukaa makaburini yakijua kuwa mwanadamu ni lazima ataenda makaburini kwa sababu hana maarifa ya kujua hatari za makaburi,wachawi nao hutega mikosi yao huko wakijua kuwa watu wengi hawajui undani wa makaburi na hivyo ni lazima waende huko,Na ndo maana mwanangu alikuwa akiyaona yote hayo ila kusema hawezi.

Wakuu, hiki ni kisa cha kweli kabisa.
Nenda kanisa la eagt city centre kwa pastor katunzi liko mtoni mtongani ,baada ya kuvuka reli inayopita juu,huyo pastor atakusaidia kwa maombezi umefungwa na mapepo,nimeona kwa macho mtu mwenye tatizo kma hilo lako likiisha bure kabisa ibada pale ni kila siku,mwamini Mungu ukifka pale utapona unaweza omba onana na pastor mwenyewe pastor katunzi.
 
Pole sana mkuu,ni funzo zuri sana ila mtihani ni kuwa Kaburi la mama,baba,mtoto,mke n.k.utaacha kwenda kulipalilia,definetly sio kweli cha muhimu ni kujikabidhi mikononi mwa Yesu kabla then nenda kapalilie,hakuna majini.mikosi ,mabalaa wala nini kitakachokupata.
 
Ss kule ROMBO tunazika hapo hapo mbele ya nyumba na kila Mara tunapafanyia usafi wala hakuna majanga hayo mcheki vizur huyo mchungaji huenda ni walewale
 
Sitasahau maishani mwangu, ilikuwa ni mwaka 2011 niliposafiri na mke wangu pamoja na mwanangu kwenda nyumbani kijijini kusalimia.

Wakati huo mwanangu alikuwa na umri wa mwaka mmoja tu,baada ya kufika nyumbani tulipumzika na kisha kesho yake mida ya saa 12 jioni tulielekea makaburini mimi na mke wangu na mtoto wetu alibebwa mgongoni ,na mimi nilibeba jembe.

Baada ya kufika tu makaburini ,mwanangu aliyekuwa amelala mgongoni aliamka na kisha akaanza kupepesa macho huku na kule,akishangaa mandhari ya makaburini,mimi nilianza kupalilia makaburi na dk 5 baadaye mtoto akaanza kulia,mama yake alimshusha mgongoni ili amnyonyeshe lakini ndo alizidi kulia kana kwamba anachomwa moto.
Tulijaribu kumbembeleza mtoto lakini ndo alizidi kulia kwa kasi ya kutisha,sijawahi kuona mtoto akilia kama mwanangu siku hiyo .

Mtoto alilia hadi tukarudi nyumbani,kufika nyumbani ndo alilia zaidi huku akitutazama kwa jicho la huruma,hakuwa ktk hali ya kawaida hata uso wake ulibadilika kabisa.
Nakumbuka siku hiyo tulishindwa hata kula,mida ya saa 4 usiku mtoto alitulia akalala,tukabaki tunajiuliza ni kitu gani kilitokea,kesho yake nilipanga kuanza safari ya kwenda Dar kununua gari,nilikuwa na pesa za kutosha Benk zaidi ya sh mil 60 nilizokuwa nimezipata kwa biashara ya Dhahabu .

Siku nyingine iliyofuata nilianza safari ya kwenda Dar,nilifika salama na kufanikiwa kununua gari zuri la kutembelea,kutokana na uzoefu wangu mdogo wa kuendesha magari ilinibidi nikodi dereva,tulipokaribia kufika Manyoni Singida saa moja usiku,gari iliacha njia ikapinduka tukiwa na mwendo kasi,ajabu tulipona wote ila gari ikaharibika vibaya mno,kama ungeiona usingeamini kama watu walisalimika.

Gari ya sh mil 15 haikutamanika hata kidogo,usiku wa manane tukiwa pale msituni baada ya gari letu kupinduka,tulivamiwa na kundi la watu wasiojulikana,wakatupora kila kitu na jambo la kushangaza walikuwa na vifaa vya kufungua na kuchukua spea za gari,walichukua hadi tairi.

Alfajiri ikapita patrol ya police na kutupeleka hadi Manyoni mjini.
Nilirudi nyumbani nikilia kwa huzuni,mke wangu akanipa moyo,baada ya hapo niliendelea na bishara zangu nikaanza kufirisika tu,kila nalofanya haliendi,nikauza kila kitu hadi nyumba na kwenda kupanga,nilirudi nyuma na kuwa maskini wa kutupwa.
Hadi chakula na sabuni ya kuogea ama kufulia tu ikawa shida kuipata.

Nilimfuata mchungaji wa kanisa moja moja nikamwelezea mkasa wote,akaniambia ni hatari sana kuweka mazoea na makaburi,mtu anapokufa na kuzikwa,yeye halisi huondoka kabisa duniani na pale kaburini hubaki mwili tu ambao hauna uhai kama jiwe.
Kwa hiyo,mapepo ya uharibifu hukaa makaburini yakijua kuwa mwanadamu ni lazima ataenda makaburini kwa sababu hana maarifa ya kujua hatari za makaburi,wachawi nao hutega mikosi yao huko wakijua kuwa watu wengi hawajui undani wa makaburi na hivyo ni lazima waende huko,Na ndo maana mwanangu alikuwa akiyaona yote hayo ila kusema hawezi.

Wakuu, hiki ni kisa cha kweli kabisa.

Ndugu yangu achana na myths. Mtoto ana macho ya kawaida kama yako na yangu. Tuachane na kuaminishwa kuwa watoto wanaona "wachawi" ,"majini" au vitu vingine wasivyoweza kuona watu wazima. Kwanza hayo yote hayapo. Hakuna wachawi,majini isipokuwa shetani na rafiki zake mapepo na wote hao hawaonekani kwa macho ya kawaida. Sasa mtoto yeye anapataje uwezo Wa kumuona shetani kwa macho ya kawaida? Na kama watoto wanakuwa na uwezo huo inakuwaje baadaye wanaukosa? Na je uwezo huo huupoteza katika umri gani? Na kwa nini Mungu awape watoto uwezo wa kuona vitu visivyoonekana na wakati huo huo awanyime uwezo wa kuwajulisha watu wakubwa juu ya kile walichokiona? Kwa faida gani mtoto aone "mchawi", "jini" na mapepo halafu wasioona washindwe kujulishwa namna ya kujilinda?
 
Vijijini watu wanazika karibu na makazi yao. ni yepi yalikuwa maoni ya mchungaji wako juu ya hilo? au hukuuliza?
Na kwa mjini panapoitwa makaburini kila siku watu waenda kuzika, mapepo yanakuwa hayapo au yana muda maalum? au tusizikne?

Hao wachungaji na wahubiri uchwara ndio wanasaidia kuiangamiza dunia! Wanasaidia sana decelerate maendeleo,hasa ya Waafrika. Kila wakati kutishanatishana na kutiana hofu tu.

Yesu Kristu alikuja kutuletea utulivu Wa kinafsi na kiroho. Haiwezekani Mateso yale aliyoyapata Yesu Msalabani bado binadamu aendelee kutishwa tishwa na "vikaragosi". Hao waende wakasome upya Taalimungu kwenye vyuo vinavyoeleweka vinginevyo ni mambo ya kujilia sadaka za watu tu.
 
SIKU ZOTE AWAZALO MJINGA HUTOKEA, SINA MAANA YA KUKUITA MJINGA mkuu ILA LAITI UNGELITAMBUA HALI ILE TOKA AWALI YOTE HAYO YASINGE KUKUTA... TAYARI ULIJLSHAJUA KUWA KUNA BAYA LILIKUWEPO KWA ISHARA ILE YA KILIO CHA MTT LAKINI ULIPUUZA LAITI UNGEJUA UNGEMUOMBA MUNGU KWA KINA... OMBA MUNGU AKUPE MACHO YA ROHONI

Sent from my TECNO-W9
 
Nenda kanisa la eagt city centre kwa pastor katunzi liko mtoni mtongani ,baada ya kuvuka reli inayopita juu,huyo pastor atakusaidia kwa maombezi umefungwa na mapepo,nimeona kwa macho mtu mwenye tatizo kma hilo lako likiisha bure kabisa ibada pale ni kila siku,mwamini Mungu ukifka pale utapona unaweza omba onana na pastor mwenyewe pastor katunzi.
Ila hicho ni kisa chake cha miaka 6 iliyo pita.....

Sent from my TECNO-W9
 
NDUGU YANGU MPENDWA.
BWANA YESU ASIFIWE.KWA MDA HUU WAWEZA NIITA PAST DIDY KWA MDA....

NI HABARI NZURI NA YA KUFUNDISHA INGAWAWENGINE WANAFANYA. N YA MASIHARA..KAMA UTAKUWA NA SIMU YA SMARTPHONE TAFUTA SOMO LA MALANGO LA MTUMISHI WA MUNGU MWAKASEGE JIBU UTALIPATA......

SHETANI AWEZI KUKUINGIA KIRAHISI KAMA LANGO LAKO LIKO NA NGUVU..NN MAANA YA MALANGO YOOTE UTAPATA HUKO.WANAPOSEMA WENYE NGUVU NDIO WATAUONA UFALME WA MUNGU SIO WABEBACHUMA...WENYE NGUVU KWELIKWELI.CHA MUHIMU ANGALIA WAPI UMELIACHIA LANGO LAKO WAZI HILO SHETANI LA UFILISI NA AJALI LIKAKUINGIA...LANGO LAWEZA KUWA N DHAMBI .A DHAMBI YAWEZA KUWA YAKO AMA KWA NIABA YAUKOO ILE DHAMBI INAKUNYEMELEA UNAISHIA KUWAZA YAMAKABURINI..

ANGALIA MAPN YA FAMILIA YAKO HAKUNAWALIOKUFA KWA AJALI??KAMA WAPO ANGALIA HILO NALO N LANGO LIKOWAZI.....TUBU KWA AJILI YA UKOO FANYA MAOMBI YAUKWELI KEMEA KABISAAA......MENGINE NTAKUJA ASBH KUKUFUMBUA MACHO

Na huyo Mwakasege naye anachanganya watu! Hakuna dhambi ya Ukoo wala familia. Haiwezekani Babu alikula Zabibu mbichi halafu ganzi iwaathiri hata wajukuu! Kaeni chonjo na hao wahubiri! Mahubiri ya namna hiyo ya kuonyesha kuwa dhambi moja huzalisha network ya waathirika yanalenga tu kutengeneza mtandao wa waumini. Wahubiri hao wanalenga mhusika mmoja anayejihisi labda "mambo yake hayaendi sawa" basi akalete na ndugu zake wote walio hai ili nao wafanyiwe "uponyaji".

Dhambi inaleta madhara kiroho na sio kimwili! Dhambi haiwezi kumfanya mtu awe maskini. Dhambi haiwezi kumfanya mtu kipofu au kilema.Dhambi haiwezi kumsababishia mtu ajifungue mtoto aliyekufa. Hao wachungaji wenu wanawalisha uongo na mkiendelea kuwaamini mtaumia sana.
 
Sitasahau maishani mwangu, ilikuwa ni mwaka 2011 niliposafiri na mke wangu pamoja na mwanangu kwenda nyumbani kijijini kusalimia.

Wakati huo mwanangu alikuwa na umri wa mwaka mmoja tu,baada ya kufika nyumbani tulipumzika na kisha kesho yake mida ya saa 12 jioni tulielekea makaburini mimi na mke wangu na mtoto wetu alibebwa mgongoni ,na mimi nilibeba jembe.

Baada ya kufika tu makaburini ,mwanangu aliyekuwa amelala mgongoni aliamka na kisha akaanza kupepesa macho huku na kule,akishangaa mandhari ya makaburini,mimi nilianza kupalilia makaburi na dk 5 baadaye mtoto akaanza kulia,mama yake alimshusha mgongoni ili amnyonyeshe lakini ndo alizidi kulia kana kwamba anachomwa moto.
Tulijaribu kumbembeleza mtoto lakini ndo alizidi kulia kwa kasi ya kutisha,sijawahi kuona mtoto akilia kama mwanangu siku hiyo .

Mtoto alilia hadi tukarudi nyumbani,kufika nyumbani ndo alilia zaidi huku akitutazama kwa jicho la huruma,hakuwa ktk hali ya kawaida hata uso wake ulibadilika kabisa.
Nakumbuka siku hiyo tulishindwa hata kula,mida ya saa 4 usiku mtoto alitulia akalala,tukabaki tunajiuliza ni kitu gani kilitokea,kesho yake nilipanga kuanza safari ya kwenda Dar kununua gari,nilikuwa na pesa za kutosha Benk zaidi ya sh mil 60 nilizokuwa nimezipata kwa biashara ya Dhahabu .

Siku nyingine iliyofuata nilianza safari ya kwenda Dar,nilifika salama na kufanikiwa kununua gari zuri la kutembelea,kutokana na uzoefu wangu mdogo wa kuendesha magari ilinibidi nikodi dereva,tulipokaribia kufika Manyoni Singida saa moja usiku,gari iliacha njia ikapinduka tukiwa na mwendo kasi,ajabu tulipona wote ila gari ikaharibika vibaya mno,kama ungeiona usingeamini kama watu walisalimika.

Gari ya sh mil 15 haikutamanika hata kidogo,usiku wa manane tukiwa pale msituni baada ya gari letu kupinduka,tulivamiwa na kundi la watu wasiojulikana,wakatupora kila kitu na jambo la kushangaza walikuwa na vifaa vya kufungua na kuchukua spea za gari,walichukua hadi tairi.

Alfajiri ikapita patrol ya police na kutupeleka hadi Manyoni mjini.
Nilirudi nyumbani nikilia kwa huzuni,mke wangu akanipa moyo,baada ya hapo niliendelea na bishara zangu nikaanza kufirisika tu,kila nalofanya haliendi,nikauza kila kitu hadi nyumba na kwenda kupanga,nilirudi nyuma na kuwa maskini wa kutupwa.
Hadi chakula na sabuni ya kuogea ama kufulia tu ikawa shida kuipata.

Nilimfuata mchungaji wa kanisa moja moja nikamwelezea mkasa wote,akaniambia ni hatari sana kuweka mazoea na makaburi,mtu anapokufa na kuzikwa,yeye halisi huondoka kabisa duniani na pale kaburini hubaki mwili tu ambao hauna uhai kama jiwe.
Kwa hiyo,mapepo ya uharibifu hukaa makaburini yakijua kuwa mwanadamu ni lazima ataenda makaburini kwa sababu hana maarifa ya kujua hatari za makaburi,wachawi nao hutega mikosi yao huko wakijua kuwa watu wengi hawajui undani wa makaburi na hivyo ni lazima waende huko,Na ndo maana mwanangu alikuwa akiyaona yote hayo ila kusema hawezi.

Wakuu, hiki ni kisa cha kweli kabisa.

mkuu umeeleza vema lakini story haijakamilika ulitakiwa utupe mrejesho baada ya kwenda huko kanisani pia nini kilitokea na je bada ya kupata maombi maisha yako yalirudi kwenye hali yake ya kawaida au bado uliendelea andamwa na mabalaaa
 
wengine tumekulia mazingir y mkaburini mpk golol tumechezea makaburni n fresh tu hkn tatiz..
 
Kwani hilo kaburi/makaburi ni ya nani yako/zako??, usikute hata hamna undugu wakusingizia wewe ukaenda kupalilia.

Ila pole.
 
Adhabu ya nyumba unayoishi jirani na makaburi
Siafu hawaishi ndani...cha ajabu wanazuka ghafla tu hao siafu.
Kingine Nyoka Yaani utasingizia mashimo mara nyumba ina vichiguu pembeni
Lkn habari ndio hio,,
Kama utabisha au kupinga hili swala labda ulipinge tu humu JF lkn ukwrli ndio huo
Hayo maswala ya mapepo sijui uchawi hata mm nayaskiaga tu
Fanya fumigation
 
Ulienda kutamba na vihela vyako vya dhahabu makaburini wakati wazazi wako walikuwa hawana hata huduma muhimu za kibinadamu; ukome.
 
NDUGU YANGU MPENDWA.
BWANA YESU ASIFIWE.KWA MDA HUU WAWEZA NIITA PAST DIDY KWA MDA....

NI HABARI NZURI NA YA KUFUNDISHA INGAWAWENGINE WANAFANYA. N YA MASIHARA..KAMA UTAKUWA NA SIMU YA SMARTPHONE TAFUTA SOMO LA MALANGO LA MTUMISHI WA MUNGU MWAKASEGE JIBU UTALIPATA......

SHETANI AWEZI KUKUINGIA KIRAHISI KAMA LANGO LAKO LIKO NA NGUVU..NN MAANA YA MALANGO YOOTE UTAPATA HUKO.WANAPOSEMA WENYE NGUVU NDIO WATAUONA UFALME WA MUNGU SIO WABEBACHUMA...WENYE NGUVU KWELIKWELI.CHA MUHIMU ANGALIA WAPI UMELIACHIA LANGO LAKO WAZI HILO SHETANI LA UFILISI NA AJALI LIKAKUINGIA...LANGO LAWEZA KUWA N DHAMBI .A DHAMBI YAWEZA KUWA YAKO AMA KWA NIABA YAUKOO ILE DHAMBI INAKUNYEMELEA UNAISHIA KUWAZA YAMAKABURINI..

ANGALIA MAPN YA FAMILIA YAKO HAKUNAWALIOKUFA KWA AJALI??KAMA WAPO ANGALIA HILO NALO N LANGO LIKOWAZI.....TUBU KWA AJILI YA UKOO FANYA MAOMBI YAUKWELI KEMEA KABISAAA......MENGINE NTAKUJA ASBH KUKUFUMBUA MACHO

Pastor Didy samahani, kwani si kila mtu atabeba msalaba wake!?
 
Back
Top Bottom