Kilichomtokea rafiki yangu ni funzo kwangu

Kilichomtokea rafiki yangu ni funzo kwangu

Mahali kubwa mno ukilinganisha na HADHI ya binti...mmmhhhh


Binti ana mtoto

pia, binti hakumuweka wazi kijana kama ana mtoto ama la.

jamaa moyo wake anasema hauridhiki kabisa na kiasi hicho cha mahari
 
Kama hataki used atafute bikira. Lakini vinginevyo wote ni used, awe amezaa au hakuzaa.
Haya mambo ya mwanamke kuwa na mtoto watu yanawapa shida sana. Mimi mbona nimeoa mke ambaye alishazaa na tunaishi poa tu.
 
Asimuoe!
Atampata atakayemthamini pamoja na kuwa amezaa!!
Eti hadhi ya bint,yeye kijana ana hadhi gani?
 
Binti ana mtoto

pia, binti hakumuweka wazi kijana kama ana mtoto ama la.

jamaa moyo wake anasema hauridhiki kabisa na kiasi hicho cha mahari

Kwani mahari huwa inaendana na hadhi ya mtu? Acheni dharau jamani hivi hadhi ya mtu inapimwaje?
 
Hapo jamaa atembee na Yesu tu, hakuna mke hapo. Mwanamke "USED" huyo anapeleka wapi? Mabinti warembo wote waliojaa nchini kwetu amekosa hata mmoja? Mwambie afikirie vizuri bhana aache ushamba... binti lazima ajitunze, akishindwa kujitunza, awapishe waliojitunza wachukuwe nafasi zao kwa upooole kabisa bila vurugu..
 
Hapo jamaa atembee na Yesu tu, hakuna mke hapo. Mwanamke "USED" huyo anapeleka wapi? Mabinti warembo wote waliojaa nchini kwetu amekosa hata mmoja? Mwambie afikirie vizuri bhana aache ushamba... binti lazima ajitunze, akishindwa kujitunza, awapishe waliojitunza wachukuwe nafasi zao kwa upooole kabisa bila vurugu..

MKUU SAFI SANA KIDOGO UMESHAURI VZR.

Sasa tatizo wazazi wamishaenda kwao binti vp anaweza kumuacha tu? binti ni mnyantuzu
 
amwache asimwoe, binti atanyanyasika mno, kama thamani yake haifiki hata 2m kisa kazaa??

Kama anaona thamani ya mchumba wake imeshuka si amuache tu, akatafute wenye thamani wenzake. Kwa hiyo yeye kaona huyo binti ana thamani ya 1 M?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
I declare interest before I comment, mimi ni mnyantuzu!
Huyo binti hana thamani hiyo kwa sababu mbili, Kubwa zaidi ni kwamba HAKUWA MKWELI WALA MUWAZI (I don't like people with this behavior). Huwezi kuficha kitu kikubwa hivyo kwa mtu wako tena anayetaka kukuoa kwa taratibu na kwa heshima zote!
Pia kimila na desturi huyo ni "MSIMBE", msimbe ni mwanamke aliyezaa au aliolewa baadaye akaachika. Kwa kawaida hao huwa wamekuwa 'used' na huwa wanaolewa na wazee na kuwa mke wa 2,3,4, au zaidi, siyo kuolewa na kijana mdogo mbichi atumie makombo!
Pia B.G TANTAWI, nakushauri afuatilie tabia ya watoto wa kike wa hiyo familia unaweza kukuta familia inatawaliwa na mama baba hana sauti hivyo kuwa na malezi ya ajabu, na pia unaweza kuta ndugu zake wote/wengi wamezalia nyumbani bila kuolewa, awe macho isile kwake!

Poleni kwa maneno makali niliyotumia, kwani niliamua kuuvaa unyantuzu!
CC. Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
... tukiwa njiani kuelekea guest baba yake akampigia cm na kumwambia...

tuliishiwa nguvu lkn nikampa moyo rafiki yangu sasa akaamua kumpigia tena cm binti huyo akamuuliza tena kama ana mtoto yaaan ndipo akakili kuwa ni kweli na mtoto ni wa kiume.

...cha mcngi anachojua...
... kasema nimshauti jmn ushauri wenu hapa ni muhimu je amuache? kijana ana 28 yrs old. na binti ana 21 yrs.


Umeandika vizuri kasoro hayo makosa ya kipunguani, jitahidi urekebishe ili mada zako ziwe na nguvu zaidi.
 
mahali ng'ombe 13! Mimi sijui ntakujaga kutajiwa bei gani lakini ikizidi m1 basi. Yaan unatajiwa mahali utadhan mtu unamnunua!
 
Yana ayo ndio madhara ya si waschana kukimbilia kuolewa mapema 21 yrs loh na mwanaume mwenyewe ndio uyo wa kusema et hana hadhi ya 1 M kisa binti wawatu anamtoto...... na rafk ake huna haya waja mtangaza shemej ako humu.....vijana wa skiz majanga kwa mtindo huu acha nijibebeee wazee mie
 
Back
Top Bottom