mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,217
labda kama sio wakwe
ntatoa, sasa ntafanyaje ila wakija siwapi hata maji ya kunywa

Tunafanya naye kazi hapa, alimchumbia binti, alipomuuliza kama ana mtoto binti akakataa kuwa hana, alimuuliza kama mara tatu binti akasema hapana sina.
Wiki iliyopita acha ya juzi tulienda kwao kupajua na kujitambulisha rasmi tulikaribishwa vzr tukakaa na kula then mazungumzo na binti pamoja na rafiki yakaanza baadae wazazi wake waliitwa.
Baada ya kujitambulisha pale na kuzungumza nao ukafika muda tukaaga kuondoka ili tukalale guest then kesho yake tuondoke, tukiwa njiani kuelekea guest baba yake akampigia simu na kumwambia asiende kulala hadi afanye uchunguzi kuhusu binti huyo, tulishirikiana pale kufanya uchunguzi ndipo watu watatu tuliowahoji kwa muda tofauti wakisema kuwa huyo binti ana mtoto wa kiume alimpata akiwa shuleni.
Tuliishiwa nguvu lakini nikampa moyo rafiki yangu sasa akaamua kumpigia tena simu binti huyo akamuuliza tena kama ana mtoto yaaan ndipo akakili kuwa ni kweli na mtoto ni wa kiume.
Du! alipomwambia baba yake akasema haina shida hata kama ana mtoto cha msingi anachojua ni kuwa mtoto wa kiume kwa kabila la wanyantuzu huwa anakuwa upande wa ujombani.
Rafiki yangu akatafakari sana kisha akamwambia baba yake kuwa sawa wajiande waende kupanga mahari ila akatoa conditions kuwa mahari isizidi milioni moja ikiwa watashindana basi warudi tu. Baba mtu wakaenda juzi Jumamosi na wakaambiwa ngo'mbe 13 mbuzi 2 na kitenge wax moja, mzee akakubali na ktk pesa ngo'mbe 13 ni sawa na T.shs. milioni 1 laki 7 hadi 8 sasa baba mtu kumwambia kijana wake kijana amekataa kata kata kuwa hiyo mahari ni kubwa ukilinganisha na hadhi ya huyo binti.
Kasema nimshauri jamani ushauri wenu hapa ni muhimu, je amuache? Kijana ana 28 yrs old na binti ana 21 yrs.
More used,how?

mkuu amini nachokwambia mm binti ana mtoto na kwa maelezo yake ana 21 yrs unless awe amemdanganya tena rafiki yangu kwa mara nyingine! cha ajabu binti ni mwalimu wa primary kaajiriwa mwaka huu alisoma katoke TC.
Kama hataki used atafute bikira. Lakini vinginevyo wote ni used, awe amezaa au hakuzaa.
Haya mambo ya mwanamke kuwa na mtoto watu yanawapa shida sana. Mimi mbona nimeoa mke ambaye alishazaa na tunaishi poa tu.
labda kama sio wakwe
Marahaba mdogo angu....Shikamoooooo
Ndio watu wanafanya makosa ila sio kuwaona kuwaona hawana hadhi kisa wana watotoJapo mimi ni mwanamke lakini hili swala la mabinti kukimbilia kuzaa kabla ya ndoa silipendi na linanikwaza sasa, tena karne hii ndo imekuwa kama fashion, nazani la msingi ni kuchagua moja either amua tu kwamba sihitaji ndoa nazaa na kulea mwanangu au jitunze usubiri mume. Hii iende hata kwa wanaume pia, make sure unafanya safe sex ili mwisho wa siku usije zalisha mwingine ukaoa mwingine, nazani wengi tunapenda kuinga kwenye ndoa na kuanza ukurasa mpya usio na machanganyo ya sijui mzazi mwenzio
Mtoa thread kamaanisha tofauti,Mkuu evelyn, tatizo sio kuwa na mtoto, tatizo ni kudanganya kuwa huna mtoto hadi napata ukweli kuwa una mtoto kupitia watu wengine.
Marahaba mdogo angu....
Akizaa bila utaratibu hadhi inashuka na kupotea.
Hadithi nyingine tamu, huyu binti kwa miaka 21 leo,alizaa lini na kumlea lini huyo mtoto na shule ya msingi alimaliza na umri gani ?