miss ngatara
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 473
- 167
Dini yangu inaamrisha binti ataje mahar yeye mwenyewe na Mara nyingi tunaambiwa tutaje kiwango ambacho bwana harus ana uwezo nacho .hii inamaanisha mahar haiusian na thaman ya mtu hata akimtilea million 50 kama hawatopendana ,kuheshimiana na kuthaminiana bas hiyo ndoa haina thaman