Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

Abby's Mtatiro! CUF imekushinda haya mengine utayaweza?? Kwanini usiende mahakamani ukamteteee???
 
Waliosaini mikataba ya ununuzi wa dude moja linatembea majini bovu wapo, waliosababisha bombadia yetu ikamatwe huko ulaya wapo, waliouza Airtel yetu kinyemela na kusababisha hasara ya matrilion wapo, waliouza hiza zetu za TBL wapo, waliogoma kusaini mikataba ya kodi kwenye mahoteli ya mbugani na kusababisha hasara ya mabilioni wapo, waliogawa vitalu vya uwindaji hadi watu kutorosha twiga wapo.

Wanaovunja mikataba na kusababisha hasara ya mabilioni wapo, waliouza gheto za serikali wapo. Ni hatari.
 
Tuna laana ya kutothamini vitu vyetu na watu wetu waliotukuka
 
..labda kwasababu Azam TV wamefanya mahojiano na TL.

Mkuu, siyo labda bali ni hakika kuwa sababu ndiyo hiyo!!

Kamati ya kulinda serikali ya Magu haikufurahia hilo hata chembe.....

Na ilipokaa, ilitafuta sababu ya kum - terminate. Haikupata iliyowazi na ya haraka...

Fast, wakafukunyua kaburi la TBC kwa nyakati zake alipokuwa CEO...Sasa wataitumia mahakama kwa kutumia mahakimu/majaji wao kama kwa mbunge wa Mbeya mjini Bw. Joseph Mbilinyi a. k. a "Mr Sugu" kwa sasa..

Msome Zitto Zubeir Kabwe hapo juu, utaelewa. Na hebu yasome mashtaka yake yale matano anayoshtakiwa nayo, utagundua kuwa si kweli na haiwezekani CEO kusaini mikataba yote hiyo peke yake kama vile hiyo ni kampuni yake binafsi wakati kuna Bodi, Waziri na wengine!!

Atashinda asubuhi tu kesi hii...
 
Usikute the issue sio Tido bali ni Azam!, haiwezekani Tido alipokuwa TBC, TBC ilingara, sasa yuko Azam, Azam inangara!, hivyo ikatafutwa namna yya kumcontain ili aondolewe Azam!, hata akiondolewa, jee ...itangara?.

Pole Tido, tuko nyuma yako!.

Paskali

Nimegundua ni ngumu sana kuwa mzalendo kwenye hii nchi iliyolaaniwa!

Viongoz wanaacha kufanya mambo ya maana wapo busy na kina dr shika, Nabii tito pamoja na wengine wasio na hatia.

Inafika mahala naona aibu kujitambulisha mimi ni mtanzania
 
Usikute the issue sio Tido bali ni Azam!, haiwezekani Tido alipokuwa TBC, TBC ilingara, sasa yuko Azam, Azam inangara!, hivyo ikatafutwa namna yya kumcontain ili aondolewe Azam!, hata akiondolewa, jee ...itangara?.

Pole Tido, tuko nyuma yako!.

Paskali
Paskali huwezi kumshauri mkuu aangalie sana maana unaweza ukawa una focus kumharibia mwingine image mbele ya jamii na kimataifa lakini ktk hili la Tido serikali itashuka sana hadhi na hasa Rais pia. Unaweza kusema aah hii ni ishu ya TAKUKURU na sio Rais...ila kwa sasa tunaelewa ndiye Engineer wa kila kitu. Ndiyo maana kina Mnyeti pamoja na tuhuma walipandishwa vyeo kutoka uDC hadi uRC..

Naona Tido amepata huruma za waTz wengi sana.

Serikali hii naona haina kipimo cha urefu wa korongo na haijui ktk wkt isiyotarajia itajikuta korongoni.

Kama yule Masamaki wa TRA ambaye alivuma kwa makashifa vile ila mwisho wa cku alishinda kesi. Sioni chochote cha kumhukumu Tiddo.

Serikali hii inapoteza rasilimali nyingi sana kupitia kesi zenye mlengo wa kisiasa na za ovyo ovyo kama hizi.

Si ajabu hakimu Mteite kusema anapata wkt mgumu..

Shame on the Govt and its machineries...
 
Usikute the issue sio Tido bali ni Azam!, haiwezekani Tido alipokuwa TBC, TBC ilingara, sasa yuko Azam, Azam inangara!, hivyo ikatafutwa namna yya kumcontain ili aondolewe Azam!, hata akiondolewa, jee ...itangara?.

Pole Tido, tuko nyuma yako!.

Paskali
Word!

Kka mkubwa
 
atashinda msihofu.hii serikali dhalimu haijawahi kushinda dhulma mbele ya haki. mbona mifano ipo mingi tu
 
Back
Top Bottom