Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

Uzalendo upi wakati alikabidhiwa TBC akaanza kutupigia jingle zilizotengenezwa na wasanii wa Kenya?
 
Mchawi wa tido ni makamba yule mzee mwanga sana alimfanyia figisu kisa tido alikataa kuwapendelea wagombea wa fisiem kipindi cha uchaguzi
 
kilichomponza ni ufisadi wake ameiba kodi za watanzania wanyonge CHADEMA acheni kutetea wahalifu

Wakati mwingine uwe na utimamu wa akili.. Hata siku moja mawazo yenu ni ya uharibifu na kudandia wanaoteswa ili wateswe zaidi.. Kazi kubwa aliyoifanya Tido imemjengea heshima kubwa duniani.

Sababu za yeye kukamatwa ni umahiri wa habari za Azam TV maana wanathubutu kazi iliyoshindwa na ITV. Na amekuwa mstari wa mbele kubalance mambo. Sasa mlianza na faini leo hii mmekuja na ngonjera za kuwa alitia TBC hasara..

Tido alikuta TVT ikiwa kaburini akaifufua hata watu wakaanza kuiangalia na kasi ya mageuzi yale ilififia tu mara tu baada ya yeye kuondoka TBC. Huo ufisadi mnaoutaja ni kiini macho tu na Tido sio wa type ya uchafu wenu maccm haryam.

Mmekosa maarifa mnaingia kuchafua kila mnayemuona anawaanika au anawafungua watanzania Macho.
 
Kwanza hajawahi kuwa mkurugenzi wa BBC, alikuwa mkurugenzi wa BBC Swahili, kama alivyo Peter Mureth now.
Pili shirika la utangazaji la Taifa la Marekani sio CNN ni VOA.

Ktk hoja zako, mbona unasahau kuwa hata kama ukifanya vizuri Vipi, kama ulitumia madaraka vibaya unapelekwa mahakamani. Uzuri mashtaka yamewekwa wazi, kama unahisi hakuyatenda hayo Weka ushahidi na sio kusema huyu jamaa ana cv Nzuri.
 
Back
Top Bottom