Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana kipindi cha Magufuli. CAG bwana Asad alipowadokeza wananchi aliishia kushikiwa mitutu.
Utekaji wa hovyo uliasisiwa kwenye serikali ya MAGUFULI.
LISSU alipigwa mchana kweupe kwakuwa alionekana kumzidi umaarufu Rais .
Wapinzani walikatazwa kukusanyika. Wakafanya mikutano ya ndani na baadaye hata hiyo ya ndani waliishiwa kushikiwa na polisi.
Baada ya kufa Magufuli wapinzani wakaamua watumie utawala wa Rais Samia kama uwanja wa kujinafasi kupoozea machungu ya awamu ya 5.
Kosa alilolifanya Samia ni kuruhusu wapinzani wafanye awamu yake kama kivuli baada ya safari ndefu ya juani.
LISSU alipigwa mchana kweupe ni akina nani walithubutu kuandamana?
Upoteaji wa watu na utekaji awamu ya 5 ni akina nani walithubutu kuandamana?
Hali ngumu ya maisha awamu ya 5 ni akina nani walithubutu kuandamana?
Awamu ya 5 maisha yalikuwa magumu sana kuanzia kwa wananchi mpaka kwa wafanyakazi wa serikali.
Wengi walirudi vijijini lakini ule utawala ulikuwa wa chuma hakuna mtu alipeleka pua barabarani.
Rais Samia usikubali kuwa mnyonge. Yeyote anayetikisa utawala wako mnyooshe.
 
Utawala wa Hayati Chuma JPM uli set standard za ni namna gani tukiwa na viongozi serious nchi inaweza kupiga hatua. Huyu chura kiziwi amepata miaka minne ya kuonyesha anachoweza kulifanyia taifa hili matokeo yake kaishia kununua Range rovers ikulu na kuishia kuomba mikopo ya kujenga vyoo kwenye shule za msingi na sekondari, wananchi wakihoji anaanza kuwatishia kua “mimi ni amiri jeshi mkuu” kituko cha mwaka hiki.
 
Magufuli alikuwa mtekelezaji wa yote mazuri na mabaya, huwezi kumlinganisha na hii kwikwi.
 
CCM ni maiti inayotembea. Watanganyika washaikataa kabisa. Huyu Samuya ashajipaka kinyesi kuua wale vijana zaidi ya 10,000, kajipa laana kubwa- hapo alipo hana furaha na huo Urais wake.
 
Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana kipindi cha Magufuli. CAG bwana Asad alipowadokeza wananchi aliishia kushikiwa mitutu.
Utekaji wa hovyo uliasisiwa kwenye serikali ya MAGUFULI.
LISSU alipigwa mchana kweupe kwakuwa alionekana kumzidi umaarufu Rais .
Wapinzani walikatazwa kukusanyika. Wakafanya mikutano ya ndani na baadaye hata hiyo ya ndani waliishiwa kushikiwa na polisi.
Baada ya kufa Magufuli wapinzani wakaamua watumie utawala wa Rais Samia kama uwanja wa kujinafasi kupoozea machungu ya awamu ya 5.
Kosa alilolifanya Samia ni kuruhusu wapinzani wafanye awamu yake kama kivuli baada ya safari ndefu ya juani.
LISSU alipigwa mchana kweupe ni akina nani walithubutu kuandamana?
Upoteaji wa watu na utekaji awamu ya 5 ni akina nani walithubutu kuandamana?
Hali ngumu ya maisha awamu ya 5 ni akina nani walithubutu kuandamana?
Awamu ya 5 maisha yalikuwa magumu sana kuanzia kwa wananchi mpaka kwa wafanyakazi wa serikali.
Wengi walirudi vijijini lakini ule utawala ulikuwa wa chuma hakuna mtu alipeleka pua barabarani.
Rais Samia usikubali kuwa mnyonge. Yeyote anayetikisa utawala wako mnyooshe.
Weka ushahidi wa kura 31m zilipotoka. Magufuli anafahamika kuwa alikuwa kiongozi dhalimu, huyu kamuiga. Haya ndio madhara ya kuiga tembo kunya.
 
Utawala wa Hayati Chuma JPM uli set standard za ni namna gani tukiwa na viongozi serious nchi inaweza kupiga hatua. Huyu chura kiziwi amepata miaka minne ya kuonyesha anachoweza kulifanyia taifa hili matokeo yake kaishia kununua Range rovers ikulu na kuishia kuomba mikopo ya kujenga vyoo kwenye shule za msingi na sekondari, wananchi wakihoji anaanza kuwatishia kua “mimi ni amiri jeshi mkuu” kituko cha mwaka hiki.
Jpm aliset new standards, na akabadili fikra za watanzania from there
Ccm wanataka ku reverse hiyo kitu which is impossible
 
Mtu anatoa ahadi za kujenga Soko 2025 huku watu tumejionea kwa macho Bwawa la mwalimu nyerere likijengwa bila kujali kelele za kina Nape nnauye
 
Kazi gani iliyoonekana?..alizuwia wakulima kuuza nje,aliwaondolea ruzuku ya mbolea,hakuajiri,aliua ajira kipindi chake zikashuka, biashara zilikufa,mikopo elimu ya juu shida,wafanyakazi kupandishwa madaraja hakuna
Mbolea yenu ya ruzuku imesababisha tatizo la ukosefu wa mbolea mikoa ya Pwani na Dar.
Pia imesababisha kukosekana baadhi ya mbolea Bora Sana sehemu kubwa ya nchi au nchi zima.
Mfano mbolea bora sana za kampuni ya Yara hazipatikani. Nielekeze duka gani la Wakala wa mbolea za ruzuku anayo mbolea za Yara Miller Winner, Chapa Meli, Amigran, Nitrabo, Otesha, nk. Nipe hapa maelekezo na namba zake za simu nikanunue.
Wewe siyo mkulima hujui kinacho endelea kwenye vurugu ya mbolea za ruzuku.
 
Ukitoa Nyerere Magufuli anafuata kwa Uzalendo na Mkapa huyu mzee angekua na makando kando kama wanavyomchukia kwenye kampeni wangempopoa kujiweka nani asiyejua siasa za maji taka za CCM walikuja na kitabu cha kabendera wakampuuza wananchi vimbwaga kibao Uzinduzi wa Ikulu Dodoma unajua mzee alitajwa mwishoni kumbukumbu zangu zinanikumbusha a kutajwa kabisa Magufuli alichukia Ufisadi CAG Wewe Assad siku hizi UNAMSKIA nidhamu kwa Watumishi wa Umma Magu acheni apumzike
 
Weka ushahidi wa kura 31m zilipotoka. Magufuli anafahamika kuwa alikuwa kiongozi dhalimu, huyu kamuiga. Haya ndio madhara ya kuiga tembo kunya.
Huyu kajisaidia kisha badala ya kujitawaza kajipakaza mwili mzima, kavaa vizuri ili watu eti wasijue- inzi wamemuumbua.
 
Si nyie wenyewe mnaona CCM walivyo waovu? Ni waovu na wanajua uovu wao wanashindana nani ni muovu zaidi.

Reference hili bandiko, Now mnaelewa kwanini Wananchi hawaitaki CCM na watu wake.
 
Back
Top Bottom