Kilichomfukuzisha kazi Maulidi Kitenge Wasafi FM chajulikana

Yeye alitangulia kutoka EFM kabla ya kitenge akaenda azam (ufm). Kitenge alivyoenda wasafi, na Mussa Kawambwa akaja akitokea ufm.
Kwa hiyo wakakutana watu waliowahi kufanya kazi sehemu moja.
Baada ya miezi miwili sijui mitatu, Mussa akapiga U TURN akarudi UFM.
dhaaaa huyu Musa c kahangaika sana
 
TEA.jpg
 
Mkataba wa kitenge alikuwa analipwa 600k per month hivo Kuna vipengele vikawa vinampa Uhuru wa kwenda safari zake ili arikave kwahiyo suala la kuondoka ni kwa mutual understanding baina ya wasafi na kitenge maana mkataba imeisha katika kutaka waingie mkataba mpya wasafi wakataka kumlimit safari za nje kwa madai hata boss wake hasafiri Mara kwa Mara na wakaahidi kumlipa 650k per month kutoka 600k per month
Unamaanisha 600K niTZS 600,000 Kwa mwezi au 6,000,000? Kama ni laki 6 mshahara hapana Bora niuze genge. Hebu nifafanulie mkuu.
 
Mkataba wa kitenge alikuwa analipwa 600k per month hivo Kuna vipengele vikawa vinampa Uhuru wa kwenda safari zake ili arikave kwahiyo suala la kuondoka ni kwa mutual understanding baina ya wasafi na kitenge maana mkataba imeisha katika kutaka waingie mkataba mpya wasafi wakataka kumlimit safari za nje kwa madai hata boss wake hasafiri Mara kwa Mara na wakaahidi kumlipa 650k per month kutoka 600k per month
600k?
 
Sasa Ni lazima kuongezewa mkataba!!?
Mbona Ni Mambo ya kawaida sio kila mtu anapoondoka kwenye kituo Cha kazi Basi kafukuzwa na kwanza hatujui mkataba wao upo vp

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Sio lazima kuongezewa, Na asiyeongezewa ni kwa sababu za kutohitajika, ndio kutemwa huko

Kama kweli issue ni mikataba
 
600k🤔🤔🤔 hapana hapa tunapigwa, Maulidi sio mtangazaji mzuri ila pia sio wa kulipwa 600k
Mkuu huo ndo uhalisia unadhani kwanini jonijoooo aliondoka kwanini dazen hakuja pale we unazani wakiwalipa mamilioni hizo hela wanatoa wapi karibu kuangalia pia coverage yao na ujiulize ni watu wangapi wanatune in kuskiliza au kuangalia wasafi na matangazo yao kwa siku kiufupi hamna faida pale mkuu hali ni ngumu Sana labda Azam na kidogo clouds Tena clouds ni enzi za marehemu na fiesta zake
 
Unataka niambia Maulidi alienda Wasafi alikuwa hajui anaenda kulipwa 600k, na kama n hvyo basi mshahara aliokuwa akilipwa huko EFM ulikuwa ni mdogo kuliko huo alioufuata usafini.
 
Back
Top Bottom