Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

Nimetoka eneo la tukio bado hakuna watu wengi katika mkutano lakini mambo yote yapo sawa.
 
jamani kama kuna mtu mwenye link ambayo tunaweza kusikiliza mkutano huo online, tunaomba atuwekee hapa
 
Wakuu nipo imara kabisa maeneo ya clock tower Arusha nikijiandaa kwa hamu kwenda kwenye mkutano Wa wazalendo Wa ukweli Wa nchi (Chadema) ninawaahidi kuwa update Vitu vitakavyokuwa vinatokea na hata ku record some audio and video clips kwa makamanda wote ambao hampo Arusha - (Peoples .......)
pawaaaa............!
tafadhali chukueni ma clip mingming za audio na video.
watu waaruusha onesheni ninin maana ya people's pawa.
tupeni habari jamani wengine tupo mbali.
 
Saa 13:10, up 2 tafadhali. Vp makamanda hawajatimba? Kujali muda ni muhimu,ili usiwachoshe wa2,.
 
Back
Top Bottom