Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

mkuu wangu Jaji. mimi najisikia aibu sababu huyo jaji anatokea Bkb. sijui kama ni mhaya kweli ama ni mgeni anayetumia jina la kihaya wakati hana asili kabisa ya huko.

Kinachotia aibu zaidi ni pale aliposhindwa kutafsiri sheria sawasawa; halafu eti tunasema tuna majaji wa kusimamia haki Tanzania. Kama mwanasheria mkuu wetu wa leo huyu Werema alikuwa jaji, basi ndipo ujue kuwa majaji wa Tanzania ni watu wa aina gani. Huyu jaji ndiyo aina ya akina jaji Werema; na huenda wapo wengi tu.
 
mie nilidhani watabakia na msimamo wao wa kutokukata rufaa,that was a very big mistake for cdm. Jimbo lile pita iko wazi lema kushinda kwake kungeendana na mauaji makubwa,ambayo impact yake arusha ingekosa utulivu na matokeo yake watalii wasingeingia na uchumi wa arusha kuporomoka. Nyie komaeni na rufaa mwanzo mwisho ili lema aendelee kuwa mbunge.
 
Hofu yangu ni Arusha kukosa Mbunge mpaka 2015, nyie wenyewe si mnazijua faulo za ccm?
 
Bange ni mbaya sana

Bangi ni safi nzuri sana inategemea unaivutaje kwa shida au kwa raha haina tofauti na moto au maji moto unapika chakula lakini pia unachoma nyumba ,,,maji unayaoga lakini yanaweza kukuelnino
uengereza na kwengineko bangi inaruhusiwa lakini sio hadharani ...hongera viongozi wa cdm kwa kuendeleza amani na kukuza chama
 
Hofu yangu ni Arusha kukosa Mbunge mpaka 2015, nyie wenyewe si mnazijua faulo za ccm?
Mkuu sheria ina lazimisha keshi za namna hii zisikilizwe ndani ya miezi 12 hivyo pengine ndani ya mwaka huu tuna weza kujua ama tuna rudia au Lema anaendelea na ubunge na ikizidi sana mpaka mwezi wa 4 mwaka 2013 lazima wawe wamesha tujuza.
 
Big up cdm kwa msimamo wenu ccm wanataka kuwapunuza kasi bt msikubali hz mbio ni mpka urais 2015. makamanda wa A town big up sanaaaa!
 
Hii ni ishara tosha kwamba watu wamekichoka ccm na serikali yake tazama ni sura za vijana ambao ni nguvu ya taifa
 
Simuelewi kabisa Lema, mara hakati rufaa, mara anakata rufaa: Mara hahitaji ubunge, badala yake anakwenda kutembea nchi nzima, tena anasema mjengoni atarudi kwa vyovyote vile. Sasa anataka nini huyu?
CCM Chiniiiiiiiiiiii Lukolo
 
Back
Top Bottom