Tupo kwenye maombolezo jamani. Mambo ya mikutano tena yanatoka wapi?
Mkuu, kurusha live inatakiwa pesa, na pesa hakuna kamanda.
Tupo kwenye maombolezo jamani. Mambo ya mikutano tena yanatoka wapi?
Mkuu jitahidi utimize ahadi yako kwani tunangojea kwa hamu kujua nini kinachoendelea huko.Wakuu nipo imara kabisa maeneo ya clock tower Arusha nikijiandaa kwa hamu kwenda kwenye mkutano Wa wazalendo Wa ukweli Wa nchi (Chadema) ninawaahidi kuwa update Vitu vitakavyokuwa vinatokea na hata ku record some audio and video clips kwa makamanda wote ambao hampo Arusha - (Peoples .......)
Wakuu nipo imara kabisa maeneo ya clock tower Arusha nikijiandaa kwa hamu kwenda kwenye mkutano Wa wazalendo Wa ukweli Wa nchi (Chadema) ninawaahidi kuwa update Vitu vitakavyokuwa vinatokea na hata ku record some audio and video clips kwa makamanda wote ambao hampo Arusha - (Peoples .......)
Kwani Chadema walijua Kanumba atakufa?au unazungumzia maombolezo ya kufa kwa YESU?
Waache wafu wawazike wafu wao. by Yesu wa Nazareti.Tupo kwenye maombolezo jamani. Mambo ya mikutano tena yanatoka wapi?
Tupo kwenye maombolezo jamani. Mambo ya mikutano tena yanatoka wapi?