Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,624
Maajabu sana
Millennium Development Goals, hiyo challenge sijui ka ni the same thing. I stand to be corrected!Kama ni true or false basi jibu ni true
Millennium goals imeisha 2015
Wakatuletea sustainable development goals
invest what you are willing to lose
Nime guess tuMillennium Development Goals, hiyo challenge sijui ka ni the same thing. I stand to be corrected!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar ni Tanzania...Dar sio mkoa?
Lengo la huo mtihani sio kupima uwezo wa watu kama wanajua issue za kukusanya kodi...lengo ni kuwachuja na kupata idad inayotakiwa......na nina uhakika kwa jinsi vijana wanavujua kukariri mambo ya darasani wangetolewa mambo ya kodi sijui customs wangefaulu sana mpaka kushindwa kuwachuja.Logically tu hayo maswali yana uhusiano gani wa Taaluma nzima ya ukusanyaji wa Kodi nchini Tanzania? Ndiyo maana kila siku huwa naunga mkono Kauli ya Wazungu kuwa Sisi Waafrika hi ' Manyani ' tuliotukuka na very ' hopeless ' creatures on earth.
peoples are searching for green pastures ....HAPO WENG WANA KAZI ZAO, WANGEKWENDA WASIO NA KAZ WASINGEJAA HVYO.
MTU ANAENDA NA NDINGA KABISA KWENYE USAILI SI ANAMBANA YULE AMBAYE HATA HELA YA KULA ANAIPATA KWA MBINDE.
ISHU NI KUFANYA KAZ TRA NA WENG WANAOMBA KWA TAMAA YA KUPGA MADILI NA UFISAD KAMA WALIVYOJAZANA USAILI WA UHAMIAJ PALE TAIFA MIAKA MITATU ILIYOPITA
kweli kabisa naona kama watu wa sheria wamependelewa maswali mengi hapo
wewe ndo wale wale team kiba na Diamond,subiri akina ngosha wajibu kama we huweziBado siamini kwamba TRA wamechemka kiasi hiki cha haya maswali kutoka.
Hivi hao wafanyakazi walioshihhulikia hili.. kama hawatabadili maswali basi kuna kajipu huko TRA.
Labda ilikuwa open exam umesoma instructions lakini.Japokuwa mitihani ilikuwa ya kiwango...lakin usimamizi ulikuwa mbovu sanaa...wapo watu walitumia simu zao kutafuta majibu ya mitihan tena bila hata wasi wasi..hivyo inakuwa ngumu sana kupima uwezo wa mtu..na hasa kuwaacha wenye uwezo asilia..Utumishi hapa inabidi mpafanyie kazi ili wapatikane watu wenye weledi na uwezo binafsi
wewe ndo wale wale team kiba na Diamond,subiri akina ngosha wajibu kama we huwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu,ukiwa nje ya uwanja unaosoma sana mchezo kuliko aliyopo uwanjani...hilo swali ukilisoma vyema halijageneralize hizo SDGs bali limegusa specifically goals zilizojadiliwa kwenye hiyo UN summit in new york...hapo kama hujapata ki article kinachohusu hiyo discussion na hizo millenium goals za 2030 huchomoki hapo!mi nahisi hii pepa kuna watu flani walishapenyezewa mvujo before ili wajipange,coz ni pepa iliyokusudia kupiga msasa wa hali ya juu sana kutokana na idadi ya applicants. The real definition of aptitude test.Sasa kama mtu atashindwa hilo la malengo ya maendeleo endelevu unafikiri ni mtu stahiki kwa hiyo kazi?
mmmh,mkuu hapo lbd hilo swali la 4 tu,sasa sidhani km mtu unaweza kufanya vizur hiyo pepa kwa ujumla wake kwa kutegemea swali moja tu!kweli kabisa naona kama watu wa sheria wamependelewa maswali mengi hapo
ukishafanya interview serikalini,jaribu kusahau kwanzaIvi karatasi 29,674 zitasahishwa kweli
Maana hata idad ya form six wanaomaliza hawafiki idad iyo na mitihan yao inasahishwa kwa miez miwili had miwili na nusu sasa iyo elfu 29 watasahisha kwa wiki mbili au tatu
usawa utakuepo?
Sent using Jamii Forums mobile app