Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
549
608
Mapema leo katika chuo cha DUCE na Kigamboni, Vijana waliitwa kwenye Usahili. Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakifanya mtihani wa usaili kwa ajili ya nafasi za kazi katika Mamlaka ya Mapato nchini, TRA kwenye Ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE). Jumla ya watu 30,000 wameitwa kwenye usaili huo kati ya 56,000 walioomba ambapo watu 400 ndio wanaotakiwa.
62b7b17eba5af8b5aa3df0fe7dc4dcfe.jpg

21150458_2005356526397483_1668294734365450404_n.jpg



=====

Hapa chini ni mtihanni walioulizwa Hawa Vijana katika Usahili wa leo.
IMG-20170830-WA0112.jpg

IMG-20170830-WA0113.jpg
 
kama ajira ndio hivi bora kujiajiri aise..... unaweza kata tamaa hata kabla ya kuanza jibu paper... Ila all in all kila la kheri kwa maafisa wetu wapya wa TRA...
Ukijiajiri pia Utakutana na nyomi la watu nao wanafanya Business/Shughuli kama unayofanya wewe; Hakuna Mahali kusiko na Ushindani mkuu; Kinachotakiwa ni Kuwa Potential tuu iwe kwenye kuajiriwa na Kujiajiri and the Most Powerfull tool Umtangulishe na Kumshirikisha Mungu baasi.
 
Kweli akuna ajira au ndio kila mtu anataka kufanya kazi tra na kibaya zaidi wengine wako n kazi sehemu zingine ila kaja hadi uku kukaba tu nafasi za wengine.

Je? Kulikoni mikoa mingine hali ikoje mpk sasa kweli vyuma vimekaza akuna milango wala madirisha hewa kuingia. ⚙️ mpaka inakatisha tamaa kusema kweli.
4d66216f0e851f52b59b4c2bf8c093a3.jpg

Mungu wabariki wapambanaji wa ukweli na watakao pata kazi watokane na hawa
 
Back
Top Bottom