Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

Mapendekezo ya kamati
1.ufungwaji wa scanner na kuajili wataalam wa mionzi
2.kuweka utaratibu wa kushtukiza kukagua makontena..
3.Tmaa kuwajibishwa
4..tmaa kushiriki katika kuchambua madini mengine yapatikanayo katika makinikia
N.k mengine tafuteni ayo ndo ninayo kumbuka tuache uvivu vijana

4.stp za kufuata unapo taka anzisha biashara aiitaji elimu ya darasan na kukalili
1..pata kibali cha sehemu husika mfano municipal au city council ili uoperate katika eneo linalo husika
2.pata permit kutika katika legal authority kama BRELA..N.K..MFANO kama unadeal na madawa inaitajika upate kibali ya TFDA..
3..REGISTER BIASHARA TRA..ILI UPATE TIN # NA UWEZE KUPATA LESENI YA BIASHARA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu...mambo ya kawaida tu kama waliyoomba wanajitambua maswali yanajibika
 
kama wewe ni msomi hufuatilii matukio ya nchi utakuwa mpumbavu
sawa kaka, we unatukana mamba kwasababu umeshavuka mto. lakini ungekuwepo kwenye hio interview sidhani kama ungekuwa na mawazo hayo maana huo uwingi wa watu na hio pepa tayari inakatisha tamaa.
 
Nilitaka atumie Google halafu nimkamate si unaona kapita kama hajaona swali
ujue mnanichekesha sana tena sana yani swali la maana ya maendeleo endelevu ndilo la kumshinda mtu? hilo swali hata aliyeishia form four hawezi kushindwa...
Ukweli ni kwamba huo mtihani haukuwa mgumu kama ambavyo mnajaribu kuhalalisha....kama wewe ni mfatiliaji wa mambo hutoshindwa kujibu hayo maswali lakini kama wakati report ya Mruma inasomwa ulikuwa busy na Lissu lazima ule mueleka maana hayo mapendekezo hutoyajua kamwe hata moja....
Mambo yote hayo kila leo yanajadiliwa humu.yani hata legal procedures za kuanzisha biashara mtu ashindwe?
Mtihani ukikushinda haimaanishi ni mgumu au watu wote umewashinda
 
Uo mtihani sasa,... Wameupatia apo kwa wasomi wa kibongo, ziro za kutosha, wazee wa spoon feed,... Si yetu macho,... Ata awo 400 sijui kama watapatikana
 
Kweli akuna ajira au ndio kila mtu anataka kufanya kazi tra na kibaya zaidi wengine wako n kazi sehemu zingine ila kaja hadi uku kukaba tu nafasi za wengine .

Je? Kulikoni mikoa mingine hali ikoje mpk sasa kweli vyuma vimekaza akuna milango wala madirisha hewa kuingia. ⚙️ mpaka inakatisha tamaa kusema kweli.
4d66216f0e851f52b59b4c2bf8c093a3.jpg

Mungu wabariki wapambanaji wa ukweli na watakao pata kazi watokane na hawa

Mimi binafsi sioni tatizo mtu mwenye kazi pia kuomba mahala pengine, naona mmekomalia kuwa wanaleta uzibe, kila mtu anataka apate zaidi na maisha pia yamebadilika uendeshaji wa maisha ya sasa sio kama ilivyo miaka iliyopita ni lazima mtu ujiongeze kuongeza kipato.... Na mtu mwenye mawazo kama yako ndiyo mnaongeza idadi ya watu masikini.... Tupo kwenye dunia ya ushindani lazima watu walete ushindani ili wengine wajiongeze
 
wakuu huko tuendako siko ni disaster,how complicated to get job,MUNGU atusaidie waja wake...all the best..
 
The Government was Implementing Millenium Challenge Goals which ended in 2015?"

Hili ni moja kati ya swali waliloulizwa watahiniwa wa ajira za TRA

My Take
Bongo bahati mbaya tu
 
Back
Top Bottom