Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,139
- 32,610
We hujui unataka kusema nini
Mleta mada kaelezea vizuri nadhani wewe ndio hujui cha kumjibu.
We hujui unataka kusema nini
Ndugu zangu wana jf,nimeshangazwa sana na kusikitishwa sana na sheria mpya ya SSRA juu ya mafao ya wafanyakaZI,NIMESIKITISHWA SANA NA WABUNGE AMBAL TUNAWAONA KAMA WATETEZI WETU KUPITISHA SHERIA HII KIMYA KIMYA WAKIJUA KUWA WAO HAIWAATHIRI... NA KWAKWELI HAPA NAMAANISHA WABUNGE WA UPINZANI HASA HASA CHADEMAA,Hapa namaanisha akina ZITO,MNYIKA,TUNDU,MBOWE.MDEE.etal...
SISEMI KUWA MNA UAMUZI WA KUIZUIA MAANA HAIWEZEKANI MAANA WA NDIOOO wengi lakini angalau mngepaza sauti tungewawikia.lakini kwa sasa mtawaambia nini wa tz?
i must admit,i am utterly disappointed with you guys... you havent done your home work properly..
Da! haya mambo yanachanganya sana.
Labda kwa tuangalie kwa upande wa pili, vipi wabunge wa CCM na vyama vingine hawajatuangusha?
Hilo la kutoathiriwa ni moja. Jingine ni kuwa wabunge wote Nov 2010 walihongwa 90m kila mmoja ili wanunue magari, fedha ambazo zilikopwa kwenye hii mifuko yetu. Ulitegemea wafanyeje?Hili ni swala la msingi kabisa kujiuliza... Je hawa wapinzani walikuwa wapi wakati hii sheria inapitishwa? Au ni kwasababu haiwaathiri?
Hivi siku zote unadhani Chadema wapo kwa ajili ya kusaidia wananchi hawa Chadema wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
ule mswaada hauna kipengere hicho ..kilichomekwa baada y kusainiwa kuwa sheria...
Mkuu muda umewadia wahi tambi na ujiHivi siku zote unadhani Chadema wapo kwa ajili ya kusaidia wananchi hawa Chadema wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
hakuna watu wanyonge nchi hii kama wafanyakazi, mtu anaweza kusema wakulima, lakini ukiangalia kodi ya m/kazi kwa serikali ni kubwa sana.leo hii chadema wametuacha hewani
mkuu ed,is that true??
mkuu nakuonea huruma na hawa jamaa jinsi wasivyopenda kukosolewa wee subiri uone kashfa na kebehi utakazozipataNdugu zangu wana jf,nimeshangazwa sana na kusikitishwa sana na sheria mpya ya SSRA juu ya mafao ya wafanyakaZI,NIMESIKITISHWA SANA NA WABUNGE AMBAL TUNAWAONA KAMA WATETEZI WETU KUPITISHA SHERIA HII KIMYA KIMYA WAKIJUA KUWA WAO HAIWAATHIRI... NA KWAKWELI HAPA NAMAANISHA WABUNGE WA UPINZANI HASA HASA CHADEMAA, Hapa namaanisha akina ZITO,MNYIKA,TUNDU,MBOWE.MDEE.etal...
SISEMI KUWA MNA UAMUZI WA KUIZUIA MAANA HAIWEZEKANI MAANA WA NDIOOO wengi lakini angalau mngepaza sauti tungewawikia. Lakini kwa sasa mtawaambia nini wa Tz?
I must admit,i am utterly disappointed with you guys... you havent done your home work properly..
mkuu unajipenda kweli wewe? au nawewe ni CCM n nn?hakuna watu wanyonge nchi hii kama wafanyakazi, mtu anaweza kusema wakulima, lakini ukiangalia kodi ya m/kazi kwa serikali ni kubwa sana.LEO HII CHADEMA WAMETUACHA HEWANI
Hivi siku zote unadhani Chadema wapo kwa ajili ya kusaidia wananchi hawa Chadema wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi.