Watanzania wengi pale walipomuuona anapambana na utendaji mbovu wa sekta zote...walimuona kama malaika...
Hawakutaka kusikia tena vyama vya upinzani....Sijui ni nani alimuingiza kwenye Huu ujinga wa kuacha kile alichoanza nacho..Maana vyama pinzani vilikuwa vinaenda kujifia vyenyew bila nguvu kutumika..
Ila yeye alivyoshauriwa na wajinga wachache ndio akawaleta tena kwenye Vyombao vya habari...
Je Rais wa sasa atajifunza kwamba nani ni adui wake...Je wananchi wanataka nini kwa kiongozi wa nchi...