PostGE2025 Kiliba: Lazima umma ijulishwe waanzilishi wa matukio batili Oktoba 29 ni wanaharakati

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na waanzilishi wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuata ambao ni wanaharakati

"lazima umma ujue tutakuwa ni wanafiki na waoga kwelikweli kama tutashindwa kuwataja waanzilishi wa mikkati hiyo ovu na batili ndani ya taifa letu ambao ni hao wanaojiita wamaharakati"- Amesema Kiliba

Kilichowaua vijana wengi tarehe 29 ni ujinga.
Yaani mtu yuko nje anakuambia ramba nondo ya moto na wewe unaramba.
Waliofuatwa ndani ni wale walioua askari na kukimbilia maghetoni. Wachache sana ndio walikufa kwa bahati mbaya, kwasababu hali inavyochafuka vitani askari humhesabu kila mtu aliyeko battle field ni askari wa upande wa pili
 
Unakazwa na digidigi
 
..Na askari waliouwa waandamanaji ni wajinga. Kilichotokea ni matajiri kutuma askari masikini kuuwa masikini wenzao.
 
Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na waanzilishi wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuata ambao ni wanaharakati

"lazima umma ujue tutakuwa ni wanafiki na waoga kwelikweli kama tutashindwa kuwataja waanzilishi wa mikkati hiyo ovu na batili ndani ya taifa letu ambao ni hao wanaojiita wamaharakati"- Amesema Kiliba

Faki that little mazafaka!
 
Akimaliza awataje waanzilishi ambao wamefanya Tanzania kusiwe na huduma ya maji

Na hili joto tunalala bila kuoga
 
Kilichowaua vijana wengi tarehe 29 ni ujinga.
Yaani mtu yuko nje anakuambia ramba nondo ya moto na wewe unaramba.
Waliofuatwa ndani ni wale walioua askari na kukimbilia maghetoni. Wachache sana ndio walikufa kwa bahati mbaya, kwasababu hali inavyochafuka vitani askari humhesabu kila mtu aliyeko battle field ni askari wa upande wa pili
Vipi waliofanya uchaguzi wa ulaghai na kuteka na kuuwa watu
Waliouza bandari
Mafisadi akina na Abduli
Wabambikia watu kesi
 
Kilichowaua vijana wengi tarehe 29 ni ujinga.
Yaani mtu yuko nje anakuambia ramba nondo ya moto na wewe unaramba.
Waliofuatwa ndani ni wale walioua askari na kukimbilia maghetoni. Wachache sana ndio walikufa kwa bahati mbaya, kwasababu hali inavyochafuka vitani askari humhesabu kila mtu aliyeko battle field ni askari wa upande wa pili
Sasa umebakiza tobo tuu akili yote imepotea, Abdul hana maana
 
Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na waanzilishi wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuata ambao ni wanaharakati

"lazima umma ujue tutakuwa ni wanafiki na waoga kwelikweli kama tutashindwa kuwataja waanzilishi wa mikkati hiyo ovu na batili ndani ya taifa letu ambao ni hao wanaojiita wamaharakati"- Amesema Kiliba

Vijana wapumbavu kama hawa huwa wanatoka wapi 🤮🤬
 
Back
Top Bottom