Kile kipindi ambacho nilipotea

mtani umeanza lini tabia ya kutupa nusu nusu kutuachia utamu haujaisha ?
 
Madam mshana katutelekeza, we endelea tu hii story mpaka pale mshana atakaporejea
BaaDa ya ya kufika gambosi aka gamboshi wengi muiitavyo, nilikutana na dunia nyingine kabisa! Ambayo iko ndani ya huu ulimwengu tunaoishi!, picha linaanza sehemu ya kulala, naambiwa fuatana na Huyo jogoo mwekundu! Atakapolala na wewe utalala hapohapo! Na kweli ikawa hivyo! Jogoo alikuwa na hirizi kubwa shingoni, njiani tukakutana na na mlevi mmoja akanitukana mno! Nikataka kumvagaa! Jogoo akanirukia akanikaba shingoni!.... Inaendelea!..............
 
N
Hii ya Gamboshi imenivutia zaidi maana nami najiandaa kuelekea huko! Endelea mkuu,
 
 
yaani leo umeniudhi umenilaza usiku saa tisa na bado mpaka sasa unanipigisha doro nasubiria stori stori na mimi,mambo gani haya halafu haujanipa jibu langu dawa ya kumtumbua mkali kwanza wa magogoni ntaipata
Huko Magogoni paache, paache kabisa, namaanisha paache.
 
Daahahahahha mkuu jogoo ana mikono ya kukaba shingoni kweli huko gambosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…