Kile kipindi ambacho nilipotea

Mshana jr, kwanini usimvae huyo jamaa na mpimane nguvu mzipige kieleweke maana anakufuatulia sana.

Inaonekana umekutana na mtaalam mwingine kwani anajifanya hakuzingatii lakini yupo sambamba na safari yako.

Hicho kitambaa usoni ndiyo darubini yake anakuona kila mahala.

Duh, Salale!
 
Usifanye mchezo na nguvu za Giza!!
 
Saa 23:50 now nalala mkuu mshana JR ila nawazo nenda pale UDSM maana ni Chuo Mama omba Ufungue short course km wale wachina na conficious Yao anzisha hata vi Basic technician na Technician certificate in witchcraft and kupaaology in the midnight!!!
 
Vituko Gan ivyoooo
 
Duh! Mkuu utamu unaanza kunoga nawe ndiyo unajongomea! Ukimaliza hii ruhusu wale wenye maswali wakuulize maswali kuhusiana na hii habari.

Saa 23:50 now nalala mkuu mshana JR ila nawazo nenda pale UDSM maana ni Chuo Mama omba Ufungue short course km wale wachina na conficious Yao anzisha hata vi Basic technician na Technician certificate in witchcraft and kupaaology in the midnight!!!
 
Eeeh ikawaje endelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…