mkuu mshana,ulisema ni jinsi gan wachawi wanapata ugumu kupaa baharini, hapa nachanganyikiwa so uchawi wao ni localized palepale kisiwan,hawaendi visiwa vingne
Lakini hapa sijazungumzia kupaa najua umerefer ile topic nyingine hebu niitafute niweke link hapa uisome ulinganishe nilichokiandika kulemkuu mshana,ulisema ni jinsi gan wachawi wanapata ugumu kupaa baharini, hapa nachanganyikiwa so uchawi wao ni localized palepale kisiwan,hawaendi visiwa vingne
Acha uongo we jamaa , nyamisati ipi unayozungumzia wewe kuwa hawaendi hospital ?? Mbona unataka kuaminisha watu ujingaVisiwa vinavyozunguka Nyamisati option ya kwanza linapotokea tatizo lolote sio hospital bali ni kwa tiba mbadala yani uchawi ndio namba moja na kwakweli rasta nyoka ni msaada mkubwa na kupitia kwake nilijifunza mengi
Mbona unakurupuka? Umeona nilichoandika hapo? '....visiwa vinavyozunguka Nyamisati unavifahamu?Acha uongo we jamaa , nyamisati ipi unayozungumzia wewe kuwa hawaendi hospital ?? Mbona unataka kuaminisha watu ujinga
Namuunga mkono Faizafox, hili jamaa liongo sana, nashangaa nyie vichwa Maji mnamsikiliza ujinga na upuuzi wake. Nyamisati Mimi naijua vizuri na huko ni kwetu, anayoeleza hapa ni uongo mtupu, ongo sana hili lijamaa
Mkuu huo ushauri nimemshauri sana lakini inaonekana kazi yake kuu ndio hii ya kuwajaza ujinga watu wasiojielewa na wenye uwezo mdogo wakutafakari mambo.Fanya kazi Mzee sio kushinda humu JF na stori zako za kitoto, unajaza watoto wa watu ujinga mtupu kuwa na aibu basi
Wewe unaweza kuumba wa hivyo? Acha kumkufuru Mungu,hii picha ingekua imetumwa hapa na kufanywa kichekesho na Mzungu,Mwarabu,Mchina n.k watu wangetokwa povu kua ni ubaguzi na udhalilishaji pia,
Hii ni nakala yake tu
Mkuu unaniita au?
Wewe unaweza kuumba wa hivyo? Acha kumkufuru Mungu,hii picha ingekua imetumwa hapa na kufanywa kichekesho na Mzungu,Mwarabu,Mchina n.k watu wangetokwa povu kua ni ubaguzi na udhalilishaji pia,
Lakini kwavile katuma "Mswahili" imekua ni kichekesho, eti mleta mada nae kaiquote na kuicheka hii picha!!!!
Follow your heart ....Hakuna sababu ya kuendeleza malumbano.Hamna nisiyempenda. Hata wewe nnakupenda sana.
Nnaona hekima na busara zimekuwa adimu sana kwenu si hasha mkawa mnaamini sana katika upuuzi, hata jinsi mnavyoandika inaashiria ukosefu wa busara.
Follow your heart ....Hakuna sababu ya kuendeleza malumbano.
Najua umenielewa vyema kabisa,Wewe dada vipi? Mungu unamletaje ghafla kwenye post yangu? Tafadhali sana nakuomba usinichonganishe na Mungu endelea kugombana na Mshana Jr. Mimi sijamgusa Mungu wala wewe inakuwaje uje na kunisakama na maandishi ya uchochezi. Weka Mungu mbali na hii picha.
Ukiwakosoa viongozi wako wa serikali ndo nitakubali kama wewe hupendi kudanganywaUkweli ni kuwa hakuna vitu kama hivyo ni uongo tu.
Huyo mtu anakila dalili za kuja kutapeli watu na wengine kuna siku mtakuja kulalamika humu.
Asiyesikia la mkuu...