The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,396
- 103,819
Mkuu tatizo ni kwamba humu kuna watu wa rika mbalimbali,kuna vijana ambao akili zao bado hazijakomaa,ndio hao anaowapata kwa kuwaambia wamfuate PM,Sisi shida yetu stori. Si lazima iwe kweli
Siongelei post hii tu,naongelea post zake nyingi tu za mambo ya ushirikina, jaribu kufuatilia kwa umakini utagundua nilichokimaanisha,Lakini mbona hakuna pahala mtoa mada kasema anatoa huduma toyote ile inayohitaji pesa!
Mtoa mada ni mkongwe humu, mbona Sina kumbukumbu ya bandiko lake hata moja ambalo limeenda sambamba na hamasa ya malipo? Kumbuka mtoa mada ni miongoni mwa top 10 ya watu wenye nyuzi nyingi humu!
mwe kashasema huko ni karibu na kwa sasa mnataka aumbuke halafu iweje wakati anatakiwa awe mzalendo wasikose watalii,FAIZAFOXY: una Tatizo kubwa LA kisaikolojia ila hujitambui tu, approach yako kwenye mada nyingi za watu inaonyesha kuwa unaitaji msaada kutoka Kwa mtaalamu wa kisaikolojia, unajifanya mjuaji sana wakati chenga tu!
Comment zako Kwa watu wengi ni za shali sana.
Unataka uonekane wewe ndo mjuaji sana hapa if.
Uwezo wako Kwa mshana Jr ni Mdogo sana hufiki hata robo. Unanikera sana kiukweli, wewe kichwani umejaza udini na upumbavu tu, kazi kudandia post za watu.
Unaonyesha chuki za waziwazi Kwa watu Kwa sababu uelewa wako ni Mdogo sana, unatafuta kiki kupitia post za mshana Jr we vipi!
Let's drive them....!Namkubali sana Mshana Jr hao wanaobisha waende kule watuletee taarifa za ukweli...sidhani kama kama kuna mtu wa kutapeliwa hapa ameelezea alivyosafiri na wengine wasafiri wakathibitishe uongo wa Mshana Jr,vinginevyo kuna kitu nyuma ya pazia kimejificha mbona mnapinga kwa nguvu sana?
Jamani wanabodi. Msameheni tu huyu ajuza Faiza Foxy
Kila thread anaweka sentensi hiyo hiyo inayosema 'mmesomea ujinga' I think she has probably gone to college and maybe she has read a lot but she is NOT educated. She knows many things but she is not wise. She is critical but cannot command respect. Msameheni bure tu. Akiandika lolote do not give her the privilege of replying
Kitatokea nini endapo watu wakijitambua, wakaacha kunukuu maneno ya FaizaFoxy na wengine ambao wanaonekana kuto kuwatendea haki watu wanaofuatilia uzi. Hata kama ni hadithi lakini watu wanajifuza siku zote mahalifa yanakuja Kwa kusikiliza na kusoma. Mashana Jr siyo mtu wa kwanza kuleta mada za uchawi lakini yeye ndo anashutumiwa kuliko wengine mpaka naanza kuhisi kuna kitu kilichopo nyuma. Kuna post nyingi za uchawi lakini kundi linalomkosoa Mashana Jr hawachangii na kukosoa katika post zingine Kwa nini? Na hata wakichangia basi Mara 1 tu. Mashana Jr endelea, kelele za chura haziwezi kumzuia tembo kunywa maji.
Watashindana lakini hawatashinda! Learn the way and it's powers they will play your tuneKitatokea nini endapo watu wakijitambua, wakaacha kunukuu maneno ya FaizaFoxy na wengine ambao wanaonekana kuto kuwatendea haki watu wanaofuatilia uzi. Hata kama ni hadithi lakini watu wanajifuza siku zote mahalifa yanakuja Kwa kusikiliza na kusoma. Mashana Jr siyo mtu wa kwanza kuleta mada za uchawi lakini yeye ndo anashutumiwa kuliko wengine mpaka naanza kuhisi kuna kitu kilichopo nyuma. Kuna post nyingi za uchawi lakini kundi linalomkosoa Mashana Jr hawachangii na kukosoa katika post zingine Kwa nini? Na hata wakichangia basi Mara 1 tu. Mashana Jr endelea, kelele za chura haziwezi kumzuia tembo kunywa maji.
Unaweza kuthibitisha hilo?Wewe mama usibishane na Mshana Jr,, kesho unaweza kujikuta umeamkia nyumbani kwake na mko wawili tu!!!
Kumbe unashindana?Watashindana lakini hawatashinda! Learn the way and it's powers they will play your tune
Rudi shule ......ungeandika kwa lugha unayoifahamu kwa ufasaha!Hujui lugha ya Queen wewe!Jamani wanabodi. Msameheni tu huyu ajuza Faiza Foxy
Kila thread anaweka sentensi hiyo hiyo inayosema 'mmesomea ujinga' I think she has probably gone to college and maybe she has read a lot but she is NOT educated. She knows many things but she is not wise. She is critical but cannot command respect. Msameheni bure tu. Akiandika lolote do not give her the privilege of replying
Umesha anza ku attach viquote vyako unavyovitoa google!! Hayo ni maneno ya watu,ni mawazo ya mtu,