kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,625
- 12,168
Sio week end tu, kila siku wake za watu hugongwa, wagongaji wanatumia "mkuyati "
Hii haina ubishi, nina wiki sasa nakaa lodge moja huku nje ya fensi ya Arusha Tech, nawaona wengi tu wanaingia kwa kujificha wanaletwa na taxi wengine kwenye magari meusi, na wengine wanaongozana na watu waliovaa misalaba wakaichopeka kweny mifuko ya mshatiThats the truth..
Yani From Friday evening mpaka Sunday Evening kuna mahali mke/mume wa mtu anachepuka mahali😅😅
Kuchepuka kwa % kubwa hufanyika siku za mapumziko (weekend)
Hata zile video 400 za Legend Engonga kutoka Gine ya ikweta zilirekodiwa Siku za week end😅😅😅