Ujanja kama huu hauwez kukufikish popote kama huna hela mapenzi hayawez kudumu me nadhani jamaa hana swaga za uvaaji fashion mpya kila siku we uwe wa kwanza kuvaaFanya kitu kimoja, mpange mchizi wako mmoja mwenye gari aje darasani kipindi kikiwa kinaendelea, amuombe lecturer kuwa anatangazo kuwa kuna mtu mwenye gari namba T ngapi ngapi Toyota Verrosa amemblock na yeye anataka kutoka, kwahiyo kama yupo humu ndani basi aje asogeze gari yake.
Mzee hakikisha siku hiyo unakaa mbele ili wakati unatoka kila mtu akuone huku ukichomoa funguo kiunoni.
Ukifika nje mchizi wako anawasha gari yake halafu anaizima, then anaiwasha tena anaondoka.
Ukirudi, wiki hiyo ukiomba namba hutonyimwa, na hayo majibu ya ninamtu hutopata. Kabla deal halijabumbuluka, nikutakie kila la kheri.
Usione kila mwenye mke mzuri ukahisi alikuwa na pesa enzi hizo, hamnaaa, wengine ujanja ujanja tuuu.
Pesakilainishi gani mkuu
Halafu we "MGOSI"Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.
Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na kunitolea nje.Pia kabla ya kufika chuo ilikuwa hivyo hivyo.
Naombeni mawazo yenu wana MMU na mimi niko vzuri tu kimuonekano na nahitaji kuwa na msichana kwa sasa.
Umenena hekima flan amazing in which nimeipendaUngezingatia kwanza masomo, mambo mengine yatafuata baadae
Mambo ya fashoooooni yanahitaji hela mkuu, vinginevyo ukaazime.Ujanja kama huu hauwez kukufikish popote kama huna hela mapenzi hayawez kudumu me nadhani jamaa hana swaga za uvaaji fashion mpya kila siku we uwe wa kwanza kuvaa
ngoja nijaribu njia ya kuwaita getoTUMIA boom hilo kuwaroga
HahahahagaFanya kitu kimoja, mpange mchizi wako mmoja mwenye gari aje darasani kipindi kikiwa kinaendelea, amuombe lecturer kuwa anatangazo kuwa kuna mtu mwenye gari namba T ngapi ngapi Toyota Verrosa amemblock na yeye anataka kutoka, kwahiyo kama yupo humu ndani basi aje asogeze gari yake.
Mzee hakikisha siku hiyo unakaa mbele ili wakati unatoka kila mtu akuone huku ukichomoa funguo kiunoni.
Ukifika nje mchizi wako anawasha gari yake halafu anaizima, then anaiwasha tena anaondoka.
Ukirudi, wiki hiyo ukiomba namba hutonyimwa, na hayo majibu ya ninamtu hutopata. Kabla deal halijabumbuluka, nikutakie kila la kheri.
Usione kila mwenye mke mzuri ukahisi alikuwa na pesa enzi hizo, hamnaaa, wengine ujanja ujanja tuuu.
niko nao karib sana
Jamaa uko saw kabisa yalinikuta hayo miez kadhaa. Huwez jua njia za mwanamke miaka yote aise.Hii ni mbinu ambayo mademu vicheche wanaitumia siku hizi ukimtongoza anakwambia kua ana MTU then ukiendelea kumtongoza atakubali,ila atakutaka uwe na tahadhar kwa huyo unknown MTU wake,ili kesho hata ukimkuta chocho na mwanaume mwingine usimuulize sana a kiukwel anakua hana MTU maalum ila ni dege LA jeshi popote kambi,ingawa wapo wachache pia waaminifu wanaitumia kukwepa usumbufu zaid kutoka kwa men
mkono mtupu haulambwi mkuu tumia pesa ikuzoee hakikisha unamjengea mazingira kwanza kama kumualika lunch au dinner au mpeleke cafeteria mnunulie lunch au dinner mkimaliza kula unamsindikiza kidogo mkiwa njiani unachukua namba ya simu kama huna , baada ya hapo mnaagana remember kulitaja jina lake Mara kwa Mara , ukishapata namba tu mtext Mara kwa Mara kama kumtakia asubuh njema, mchana mwema au usiku mwema make sure unalitaja jina lake unamjulia hali, unajua wadada wanapenda sana kuitwa majina yao hasa wakiwa mbele ya wenzao ukiona hasomeki tumia MBINU YA PESA kama kumtumia vocha kisha kaa kimya yeye mwenyewe atakutext kukushukuru na utamjibu romantic word kama ucjal Fanya hivi hata Mara tatu na sio unamtumia pesa kila siku acha hata kila ya siku nne au tano akielekea vizuri unamngonga mpesa kiasi kidogo akilainika unamuita geto unamla hata bila kumtongoza , ikigoma hapo tafta mwingine ikishindikana ingia chama cha CHAPUTAngoja nijaribu njia ya kuwaita geto
level niliyofikia sio ndogosoma we kijana, muda wako bado hao ni wetu sisi wazee, ukifika umri wetu utawapata
big up mkuu ntaufanyia kazi ushauri wakoHapo ndipo unapoharibu wanawake wanatabia yakuwagroup marafiki nakutaftia tu namna unakuta umewekwa kwenye frend zone HUPEWI tamuu milele anakuona kaka yake
unakuwa nao karib wa kazi gani ? make sure unamtonesha kila anaekuwa karib na wewe maswala ya mahusiano yanakujaga yenyewe wewe anza na utafunaji huwa wanajiongeza kama anataka kubaki atabaki kama ni one night stand move on tafuna mwingine i wish nirudi chuo kila mwez manzi mkaliiiiii mpya
hawa viumbe wana mbinu nyingi sana aseeJamaa uko saw kabisa yalinikuta hayo miez kadhaa. Huwez jua njia za mwanamke miaka yote aise.
hahahh hakika hapo haiwezi shindikana mkuumkono mtupu haulambwi mkuu tumia pesa ikuzoee hakikisha unamjengea mazingira kwanza kama kumualika lunch au dinner au mpeleke cafeteria mnunulie lunch au dinner mkimaliza kula unamsindikiza kidogo mkiwa njiani unachukua namba ya simu kama huna , baada ya hapo mnaagana remember kulitaja jina lake Mara kwa Mara , ukishapata namba tu mtext Mara kwa Mara kama kumtakia asubuh njema, mchana mwema au usiku mwema make sure unalitaja jina lake unamjulia hali, unajua wadada wanapenda sana kuitwa majina yao hasa wakiwa mbele ya wenzao ukiona hasomeki tumia MBINU YA PESA kama kumtumia vocha kisha kaa kimya yeye mwenyewe atakutext kukushukuru na utamjibu romantic word kama ucjal Fanya hivi hata Mara tatu na sio unamtumia pesa kila siku acha hata kila ya siku nne au tano akielekea vizuri unamngonga mpesa kiasi kidogo akilainika unamuita geto unamla hata bila kumtongoza , ikigoma hapo tafta mwingine ikishindikana ingia chama cha CHAPUTA