agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Asiache kuufwataNimepende ushauri wako mkuu.
Asiache kuufwataNimepende ushauri wako mkuu.
Wanapatikana badoome natafuta mtoto mkali wa kula nae maisha
Absolutely ndio maana hata wasira anaitwa baby yule...anaonekana kijanakwahiyo mapenzi pesa?
Hakika.Asiache kuufwata
chaputa nimetoka
hahahahaaaaaaa.... club wako wengi pia utaenda chukua.chaputa nimetoka
Wanakuzuga tu,lakini wakikomaa kaa kivyako fata masomo,ukizidiwa ingia town kati,daka wa dakika tatu ili usije pata ugonjwa wa mfadhaiko, then sepa kajisomee.Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.
Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na kunitolea nje.Pia kabla ya kufika chuo ilikuwa hivyo hivyo.
Naombeni mawazo yenu wana MMU na mimi niko vzuri tu kimuonekano na nahitaji kuwa na msichana kwa sasa.
Yatafata badae lini hujui kuna kifo hakina info na hujui kuna experience ya mambo fulan kabla ya ndoaUngezingatia kwanza masomo, mambo mengine yatafuata baadae

we ni cash madame!

Ukiona hivyo na wewe unaye ila unataka kuongeza idadi... si unajuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume..!!Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.
Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na kunitolea nje.Pia kabla ya kufika chuo ilikuwa hivyo hivyo.
Naombeni mawazo yenu wana MMU na mimi niko vzuri tu kimuonekano na nahitaji kuwa na msichana kwa sasa.
Hapana mim ni Faru Pombe![]()
mkuu wewe ni faru John au
Mbinguni 🙁kinatoka wapi
nianze na wew bas mkuu
sio kila mtu mrahisi hivoDem wa chuo hatongozwi, we mwambie aje akutemberee akikubali tu unamaliza,,, utamaliza mpaka mwaka wa 3 patupu ukitegemea kutongoza
Fanya kitu kimoja, mpange mchizi wako mmoja mwenye gari aje darasani kipindi kikiwa kinaendelea, amuombe lecturer kuwa anatangazo kuwa kuna mtu mwenye gari namba T ngapi ngapi Toyota Verrosa amemblock na yeye anataka kutoka, kwahiyo kama yupo humu ndani basi aje asogeze gari yake.
Mzee hakikisha siku hiyo unakaa mbele ili wakati unatoka kila mtu akuone huku ukichomoa funguo kiunoni.
Ukifika nje mchizi wako anawasha gari yake halafu anaizima, then anaiwasha tena anaondoka.
Ukirudi, wiki hiyo ukiomba namba hutonyimwa, na hayo majibu ya ninamtu hutopata. Kabla deal halijabumbuluka, nikutakie kila la kheri.
Usione kila mwenye mke mzuri ukahisi alikuwa na pesa enzi hizo, hamnaaa, wengine ujanja ujanja tuuu.

DOGO KUNA NJIA MBILI RAHISI SANA ZA KUWAPATA HAO WAREMBO..Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.