Kila ninayemtongoza ana mtu

Kila ninayemtongoza ana mtu

Ujanja kama huu hauwez kukufikish popote kama huna hela mapenzi hayawez kudumu me nadhani jamaa hana swaga za uvaaji fashion mpya kila siku we uwe wa kwanza kuvaa
kuhusu kuvaa hapo nimeshindikana hadi wenzangu wananidiscuss mana navaa code
 
TANGAZO TANGAZO. chuo cha mapenzi jijini tanga kinayo furaha kukujilisha kuwa kinatoa kozi mbalimbali zikiwemo za kutongoza wahi sasa nafasi ni chache
wafundishe online
 
kuna wasichana wengine pesa wanazo
Very few.... nao wamegawanyika, wapo wanaotaka mapenzi tu na wapo wanaotaka vyote. Bora uwe nacho tu ndio unakuwa na uwanja mpana. Kapuku hana thamani...
 
Very few.... nao wamegawanyika, wapo wanaotaka mapenzi tu na wapo wanaotaka vyote. Bora uwe nacho tu ndio unakuwa na uwanja mpana. Kapuku hana thamani...
kwahiyo mapenzi pesa?
 
Back
Top Bottom