monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,297
- 1,874
siwatakijaribu na kakapoa
siwatakijaribu na kakapoa
sawa mkuu..ila inategemea na msichana mwenyeweKuvaa vizur na kujipulizia tena...mmmh
Dogo awe kujichanganya,mcheshi nk
Uwongo mwingi maana madem hawaelewi ukweli kabisaa
Akipiga show nzur owa mmoja akisimulia rafiki yake wanapenda kuzungukana sana...
Hayo mambo ya kuvaa vizur,kujipulizia kisa kupata dem.n ufala
Dogo kaza mwaka wa kwanza ndio tym ya kupata experience
indirect way kama vipiNi vigumu kumtongoza mdada akakubali direct huwa wanakubali indirect way
me natafuta mtoto mkali wa kula nae maishaMtoa mada hatafuti mpenzi, bali anatafuta huduma ya mapenzi, sasa kuna huduma inatoleawa bila malipo?
ngoja nijitahidi darasaniHahahaaaa njia nyingine jitahidi uwe unapasua zile kozi ngumu ngumu, halafu unamtafuta mrembo mmoja unamualika discussion nae, hawezi kataa, katika kupanga discussion ifanyike wapi, chagua room kwake, hakikisha kweli upo vizuri kwenye kozi hiyo, kila swali linatembea, tumia chance hiyo ya kuwa kwenu wawili tu room kulianzisha polepole, mpaka akiwa vizuri kwenye hiyo kozi hakikisha na wewe umefanikiwa. Kila la kheri.
[emoji2] [emoji2] mkuu wewe ni faru John auNawew ni mmoja kati ya wale waliofanya huo utafiti [emoji23][emoji23][emoji23]
toa mbinu mkuuKabla ya Upinzani, Majimbo yote yalikuwa CCM.
Lakini upinzani walivyoanza kuja na mikakati na sera za kueleweka basi Leo DSM Majimbo karibia yote yapo Upinzani.
Jipange na Sera,
Hakuna single girl, but sera zako ndiyo zinakupa Jimbo!
Mbona Me wote ninaonana nao Mpaka wale wenye Ndoa na Pete Vidoleni Wanasema wapo Single!
Mke wa Mtu ana pete 2 bado anasema nipo Single!
Girls ndiyo kwanza hawajawahi hata kudate!
😀angalia mbele wewe, tafuta pesa kijana achana na watoto utapotea😀
pesa sio mapenziMimi ninazo beby
nipe mikakati tufaidi woteHujui kuitumia.. Mm sina boom! Ila kwa wiki nagonga si chini ya mademu wa 3 wapyaa! Huna sound tuu mbona simple
kuna wasichana wengine pesa wanazoUtaniambia mmojawapo ni Klyn..... Mengi bila mbunye Klyn angemsikia kwa wenzake. Mbunye unarahisisha unapata mpaka hao wanaodai wana wachumba. Pesa sabuni ya roho huu usemi sio bure.
we ni cash madame!"DUME SURUALIIIIII"
unafanyaje mkuuYani mpaka Leo mkuu unatongoza
kwahiyo unatengeneza mazingira hata kama hataki?Siku hizi ukishapata number onesha upo vizuri, weka appointment sehemu ya kuelewekaa, ukipigwa kizinga usifikirie Mara 2, ukiropoka tu nakupenda ujue ushamkosa huyooo
kama hela auhujawahi kuombwa chochote kutoka kwa hao wadada
nimekuelewa mkuuMwenzio maisha yote ya chuo sikuwahi tongoza demu,siku hz wanajitongozesha hata hawajali kuwa nina mke.
Achana nao kwa sasa utakutana nao kwenye rebound if you know what i mean!
mademu wa chuo wakati mwingine wanazinguaMkuu ukifuatilia post nyingi zinazoletwa na madogo wa chuo ni vichekesho kuna mmoja alishawahi kuleta Uzi akilalamika eti aliambiwa asome sana akifika chuo mademu wamejaa wala hatohangaika kuwapata sasa dogo kafika chuo kakuta tofauti na alivyosikia kila akipiga sound anakosa akaanza kulialia
kujiongeza kwa kubaka auWasiojiongeza ni lazma watongoze.