Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 737
TUMIA boom hilo kuwaroga
tatzo lako ukiambiwa hvyo unakata tamaa unachotakiwA kufanya ni kumuomba namba na mkawA mnachati tu kawaida na ujifanye una care sana juu yake na mwisho wa siku atahamia kwako mazima kwani hzi nyakati tulizopo ni ngumu kukuta mdada yupo single completely sanasana utamkuta yupo katka uhusiano unaolegalega hvyo jamaa akilemba tu anahamia kwa mwingine.Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.
Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na kunitolea nje.Pia kabla ya kufika chuo ilikuwa hivyo hivyo.
Naombeni mawazo yenu wana MMU na mimi niko vzuri tu kimuonekano na nahitaji kuwa na msichana kwa sasa.
kuna wengine hawahitaji hata helambunye ndio kila kitu.![]()
kivipiUna yumba Sana
kamata fursaaibu hizo sasa
Mtoa mada hatafuti mpenzi, bali anatafuta huduma ya mapenzi, sasa kuna huduma inatoleawa bila malipo?kwani bila pesa haiwezekani mkuu au
Hahahaaaa njia nyingine jitahidi uwe unapasua zile kozi ngumu ngumu, halafu unamtafuta mrembo mmoja unamualika discussion nae, hawezi kataa, katika kupanga discussion ifanyike wapi, chagua room kwake, hakikisha kweli upo vizuri kwenye kozi hiyo, kila swali linatembea, tumia chance hiyo ya kuwa kwenu wawili tu room kulianzisha polepole, mpaka akiwa vizuri kwenye hiyo kozi hakikisha na wewe umefanikiwa. Kila la kheri.nipe njia nyingine hyo risk mkuu
Nawew ni mmoja kati ya wale waliofanya huo utafitiwe ni mmoja kati ya wale wanne wa utafiti



Mimi ninazo bebyTafuta pesa....wote watakua single
Hujui kuitumia.. Mm sina boom! Ila kwa wiki nagonga si chini ya mademu wa 3 wapyaa! Huna sound tuu mbona simplepesa ninayo kiasi mkuu na naishi mwenyewe geto
Utaniambia mmojawapo ni Klyn..... Mengi bila mbunye Klyn angemsikia kwa wenzake. Mbunye unarahisisha unapata mpaka hao wanaodai wana wachumba. Pesa sabuni ya roho huu usemi sio bure.kuna wengine hawahitaji hata hela
Bado kuna wanaume Wanatongoza?Km kila mtu ana mtu inakuwaje wewe siyo mtu wa mtu? Sema unatafuta mchep mkuu na km siyo hvyo basi hujui kutongoza.
"DUME SURUALIIIIII"Mimi ninazo beby
kwanini mkuu