Kila ninayemtongoza ana mtu

Kila ninayemtongoza ana mtu

86c5827f86a6fca5fc89a8e46932208f.jpg
mbunye ndio kila kitu.
 
Kupata msichana chuo ukiwa mwanafunzi kuna mawili:
1. Uwe na hela, na
2. Uwe kipanga siyo kilaza...ezeka vibanda vya kutosha na GPA za kiume kila semester utapata yule unayemtaka, hata mtoto wa Vice Chancellor utakula!
kwahiyo ukiwa na swag huwezi pata!
 
Fanya kitu kimoja, mpange mchizi wako mmoja mwenye gari aje darasani kipindi kikiwa kinaendelea, amuombe lecturer kuwa anatangazo kuwa kuna mtu mwenye gari namba T ngapi ngapi Toyota Verrosa amemblock na yeye anataka kutoka, kwahiyo kama yupo humu ndani basi aje asogeze gari yake.

Mzee hakikisha siku hiyo unakaa mbele ili wakati unatoka kila mtu akuone huku ukichomoa funguo kiunoni.

Ukifika nje mchizi wako anawasha gari yake halafu anaizima, then anaiwasha tena anaondoka.

Ukirudi, wiki hiyo ukiomba namba hutonyimwa, na hayo majibu ya ninamtu hutopata. Kabla deal halijabumbuluka, nikutakie kila la kheri.

Usione kila mwenye mke mzuri ukahisi alikuwa na pesa enzi hizo, hamnaaa, wengine ujanja ujanja tuuu.
ushauri mzuri ila ni risk
 
Unaboom??
Kjm.usiwe na tabia ya kuuliza una mtu??

Mabint waleo hawatongozwi nilugha za ishara unajua huyu tayar

Upo chuo gan??
Usijetoka tatu bila,kuna watu wanamaliza hawajawai pasua dem
Nina boom,nina geto,na huwa sianzi na gia kama una mtu
 
Ni vigumu kumtongoza mdada akakubali direct huwa wanakubali indirect way
 
Kuvaa vizur na kujipulizia tena...mmmh

Dogo awe kujichanganya,mcheshi nk
Uwongo mwingi maana madem hawaelewi ukweli kabisaa

Akipiga show nzur owa mmoja akisimulia rafiki yake wanapenda kuzungukana sana...


Hayo mambo ya kuvaa vizur,kujipulizia kisa kupata dem.n ufala

Dogo kaza mwaka wa kwanza ndio tym ya kupata experience
hayo yote nayafanya mkuu
 
Jali masomo ili utoke na GPA 4.7 utakuwa na list kubwa ya kuchagua else ukiendeleza hayo utatoka na GPA ya 2.2 au disco na utapata shida maishani kwa kutokutumia hela ya mzazi au boom lako vizuri!! so concentrate in your studies else you will come to regret!!
good advice ila lazima niwe na mtu wa kunijenga kiushauri na mengineyo
 
Back
Top Bottom