monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,297
- 1,874
nishajitumiaJitumie msg
nishajitumiaJitumie msg
jaribu na kakapoaWakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.
Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na kunitolea nje.Pia kabla ya kufika chuo ilikuwa hivyo hivyo.
Naombeni mawazo yenu wana MMU na mimi niko vzuri tu kimuonekano na nahitaji kuwa na msichana kwa sasa.
Utakuwa CR wao maana wote watakuwa wanakufahamusasa nikitokea darasa zima afu wakikataa wote!!
Fanya kitu kimoja, mpange mchizi wako mmoja mwenye gari aje darasani kipindi kikiwa kinaendelea, amuombe lecturer kuwa anatangazo kuwa kuna mtu mwenye gari namba T ngapi ngapi Toyota Verrosa amemblock na yeye anataka kutoka, kwahiyo kama yupo humu ndani basi aje asogeze gari yake.
Mzee hakikisha siku hiyo unakaa mbele ili wakati unatoka kila mtu akuone huku ukichomoa funguo kiunoni.
Ukifika nje mchizi wako anawasha gari yake halafu anaizima, then anaiwasha tena anaondoka.
Ukirudi, wiki hiyo ukiomba namba hutonyimwa, na hayo majibu ya ninamtu hutopata. Kabla deal halijabumbuluka, nikutakie kila la kheri.
Usione kila mwenye mke mzuri ukahisi alikuwa na pesa enzi hizo, hamnaaa, wengine ujanja ujanja tuuu.
Aha,,,Km kila mtu ana mtu inakuwaje wewe siyo mtu wa mtu? Sema unatafuta mchep mkuu na km siyo hvyo basi hujui kutongoza.
Hahahaaaa vijana tusipowasaidia hawachelewi kutuletea vihio nyumbaniAisee akishindwa na hiyo basi akawe Bruda tuuila hii mbinu nahisi wengi wataitumia humu ambao anasoma nao hapo chuo watamuwahi
Kuvaa vizur na kujipulizia tena...mmmhVaa vizuri ,paka mafuta, jipulizie unukie ,ongea kama mwanaume unaejitambua acha kuwatizama sana wadada, utapata mrembo mzuri utafurahi na roho yako.sawa mwanachuo?
Kabisa nadhani hawatahangaika tenaHahahaaaa vijana tusipowasaidia hawachelewi kutuletea vihio nyumbani
Nilikuwa natafuta comment yakoTafuta pesa....wote watakua single
Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.
Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na kunitolea nje.Pia kabla ya kufika chuo ilikuwa hivyo hivyo.
Naombeni mawazo yenu wana MMU na mimi niko vzuri tu kimuonekano na nahitaji kuwa na msichana kwa sasa.