Kila ninapomtembelea, anaingia katika siku zake (menstruation)

Kila ninapomtembelea, anaingia katika siku zake (menstruation)

Hapana mkuu, hilo jambo nashangaa hadi sasa hivi sijapata ufafanuzi ndio maana hata sina ushauri wa kutosha..unajua huwezi kumshauri mtu bila kujua mzizi/ chanzo cha tatizo
Ngoja nikusaidie kitu, wewe muombe jamaa akupeleke kwa mwanamke wake ukajue shidaah ni nini ili uweze kutoa ushauri vizuri.
 
Kama kuna ugonjwa unaoitwa sexphobia, I think she might b suffering frm that[emoji3][emoji3][emoji3](kidding).........ofcoz that situation has something tu du with psycho-pathology[emoji41][emoji135]
uko deep sana, ndio nini hiyo
 
Ngoja nikusaidie kitu, wewe muombe jamaa akupeleke kwa mwanamke wake ukajue shidaah ni nini ili uweze kutoa ushauri vizuri.
Hahaha aisee ingekuwa poa sana kama jamaa angeridhia...ili na mimi niache kushangaa
 
WANAWAKE EMBU NIFAFANULIENI HII ISHU IMEKAAJE?? SIO KWAMBA HUYO MWANAMKE ANAMCHEZEA TU JAMAA....UFAFANUZI NAOMBENI WANAWAKE
I think its among ov psycho-pathology complications.....i guec anatawaliwa sana na sympathetic control
 
Hahaha aisee ingekuwa poa sana kama jamaa angeridhia...ili na mimi niache kushangaa
Mwenye mpenzi inaonesha hajui kiini cha tatizo sembuse wewe mshauri? Mambo mengine inabidi mtu ukubali kushangaa tuu maana hata vitu havieleweki kwanini uumize kichwa?
 
Wajuzi naomba elimu yenu hapa;

Huyu Girl Friend wangu tuko naye mikoa tofauti kwa sababu za kikazi, ninampenda sana na naamini pia ananipenda sana. Tuko kwenye mahusiano mwaka nanusu sasa

Tuna kautaratibu kakukutana twice in a month, na mara zote mimi huwa namfuata.

Linalonishangaza, na yeye pia anashangaa, ni kuwa mara nyingi sana ninapofunga safari kwenda kwake huwa, unexpectedly, anaingia katika siku zake. Hali hii huwa inanipasa kuspend siku kadhaa kama 4 nakuendelea ili nikidhi haja zetu baada ya menstruation.

Najiuliza hali hii ni mshtuko, nervorseness, exitment au jambo la hila?(God forbid).

Lakini je kuna suluhisho gani la hali kama hii?

Ushauri wenu wakuu!

C&P
Nyuki na inzi hawawez taga yai
Sio wako huyo
Angalia mbele
 
Mwenye mpenzi inaonesha hajui kiini cha tatizo sembuse wewe mshauri? Mambo mengine inabidi mtu ukubali kushangaa tuu maana hata vitu havieleweki kwanini uumize kichwa?
Kweli kabisa Ney...lakini kwani ni kawaida kwenu nyie wanawake kutokewa na hali kama ya huyo???
 
Kweli kabisa Ney...lakini kwani ni kawaida kwenu nyie wanawake kutokewa na hali kama ya huyo???
Huyo dada kuna kitu anachomficha jamaa sasa akipata taarifa za ujio wake anapata mshtuko na kuingia period, huo mshtuko ndio sababu ya yote huwenda huko anamtu wake wameshapendana ila anashindwa kuwa wazi kwa jamaa wenu.
 
Back
Top Bottom