Kila ninapomtembelea, anaingia katika siku zake (menstruation)

Kila ninapomtembelea, anaingia katika siku zake (menstruation)

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,087
Reaction score
10,770
Wajuzi naomba elimu yenu hapa;

Huyu Girl Friend wangu tuko naye mikoa tofauti kwa sababu za kikazi, ninampenda sana na naamini pia ananipenda sana. Tuko kwenye mahusiano mwaka nanusu sasa

Tuna kautaratibu kakukutana twice in a month, na mara zote mimi huwa namfuata.

Linalonishangaza, na yeye pia anashangaa, ni kuwa mara nyingi sana ninapofunga safari kwenda kwake huwa, unexpectedly, anaingia katika siku zake. Hali hii huwa inanipasa kuspend siku kadhaa kama 4 nakuendelea ili nikidhi haja zetu baada ya menstruation.

Najiuliza hali hii ni mshtuko, nervorseness, exitment au jambo la hila?(God forbid).

Lakini je kuna suluhisho gani la hali kama hii?

Ushauri wenu wakuu!

C&P
 
Hiyo Ni psychological problems.
Chakufanya hapo msaprise tuu siku.

Usimwambie unakuja lini ili asiiweke kichwani saana.

Pole
Hapo unaweza msaidia, tatizo linaweza kuwa hofu. Nina x gal wangu alinikosea sana Ila siku namuambia yameisha hakuamini.

Alipanga mwenyewe twende lodge cha ajabu ilikuwa nje ya ratiba kabisa ghafla akaingia p. So, hyo lazima ni psychological problem.
 
Kwa hiyo ndo hivo...habari ya mujini ndo hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Jana ulikuwa unanigongea like tu kule kwa Raimundo[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ulinikosha sana kwa mapoint, hivyo like ikabidi zihusike.
 
Back
Top Bottom