Kila ninapomtembelea, anaingia katika siku zake (menstruation)

Kila ninapomtembelea, anaingia katika siku zake (menstruation)

Yan n ngumu kuamin
Ila lazma uamin
Kuna watu bdo wnawekewa tomato mpaka sasa hv
 
Mkuu linanishangaza sana ni kwa yeye jamaa tu au hata wanaume wengine wakienda inamtokea?? Usikute jamaa anategwa tu
Jamaa anashindwa hata
Kujiongeza kwa jicho la 3
Anakubali endelee tu kuonekana
Zoba pengine amezoea
 
Kama kuna ugonjwa unaoitwa sexphobia, I think she might b suffering frm that[emoji3][emoji3][emoji3](kidding).........ofcoz that situation has something tu du with psycho-pathology[emoji41][emoji135]
 
Jaribu kumchunguza huyo demu wako usikute yupo na kidume kingine sasa ukimtaarifu ujio wako inampa hofu mpaka anaingia p kwa kuogopa kujulikana wenda ukamtema. Maana wadada wengi ndiyo zao hofu huku wakijifanya kupenda mguu ndani nj[emoji3][emoji3]
 
Wajuzi naomba elimu yenu hapa;

Huyu Girl Friend wangu tuko naye mikoa tofauti kwa sababu za kikazi, ninampenda sana na naamini pia ananipenda sana. Tuko kwenye mahusiano mwaka nanusu sasa

Tuna kautaratibu kakukutana twice in a month, na mara zote mimi huwa namfuata.

Linalonishangaza, na yeye pia anashangaa, ni kuwa mara nyingi sana ninapofunga safari kwenda kwake huwa, unexpectedly, anaingia katika siku zake. Hali hii huwa inanipasa kuspend siku kadhaa kama 4 nakuendelea ili nikidhi haja zetu baada ya menstruation.

Najiuliza hali hii ni mshtuko, nervorseness, exitment au jambo la hila?(God forbid).

Lakini je kuna suluhisho gani la hali kama hii?

Ushauri wenu wakuu!

C&P

Na mimi nashangaa
 
Mimi nilikuwaga na demu kila nikiomba mzigo ananiambia ameingia p siku moja nikamwambia nimtoe out kwa shopping kumbe ndiyo naenda kumla tangu siku hiyo hajawahi kusingizia p maana nishamla tayari kumbe ilikuwa mbinu za kunichuna tu[emoji3][emoji3]
 
Kwani akiwa on her period papuchi inaziba?

We gonga hivyo hivyo tu.

Hiyo period ichukulie kama condiment flani hivi na mambo yatakuwa mswano tu.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sijawahi na siwezi kwanza utasikia ladha kweli!???
Unaulizia kusikia utamu?

Yaani acha kabisa aisee.

Kunakuwa na utelezi flani hivi utadhani unafanya skiing kwenye milima ya Alps huko Uswisi.
 
Back
Top Bottom