Kila ninapomtembelea, anaingia katika siku zake (menstruation)

Huyo dada kuna kitu anachomficha jamaa sasa akipata taarifa za ujue wake anapata mshtuko na kuingia period, huo mshtuko ndio sababu ya yote huwenda huko anamtu wake wameshapendana ila anashindwa kuwa wazi kwa jamaa wenu.
Yeah ni kweli kabisa, kumbe nilikuwa sahihi KUSHANGAA!!!
 
Hayo maneno yako ya kitaalamu yameniacha njia panda ya ubungo, nifafanulie tafadhali nielewe kwa kiswahili
Its ol abt saikolojia mkuu.......Mara nyingi mtu akiwa mentally ill, mwili una undergo hormones imbalance ambayo inasababisha kutokea kwa makinikia mbalimbali lyk dat ov unexpected menstrual periods,,,,,,,bt sina uhakika sana mkuu labda tusubiri wanabaiolojia waklie doubts
 
It might be aisee.
 
Labda mshtuko!!! Sasa ndo ujiulize anashtuka nini?
 
Hanywi mtu....hivi humu wadada wote mnajifanya hamjawahi kupiga game wakat msimbazi wanapasha?!
Game ya kwenye p tamu sana!!! ,[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ni bora kitumia condom ila sio vinegar jamani!!!
 
Labda mshtuko!!! Sasa ndo ujiulize anashtuka nini?
Inawezekana shughuli ya jamaa ni nzito, kwa hiyo kuonekana kwake anajawa na hofu, maumivu ya kupelembwa anayapata hata kabla ya shughuli yenyewe kuanza
 
Itakua aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Its ol abt saikolojia mkuu.......Mara nyingi mtu akiwa mentally ill, mwili una undergo hormones imbalance ambayo inasababisha kutokea kwa makinikia mbalimbali lyk dat ov unexpected menstrual periods,,,,,,,bt sina uhakika sana mkuu labda tusubiri wanabaiolojia waklie doubts
anhaa, hapo angalau nimekupata
 
Back
Top Bottom