Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

Usikate tamaa ulioandikiwa bado hajajitokeza. Mweleze ukweli huyo uliyenae sasa, kama ni wako hatoshangaa. Mapenzi na kabila kwanza wapi na wapi? kwanza yanaanza mapenzi kisha ndio hiyo habari ya kuoa au kuolewa inafuata. Isije ikawa approch yako ni mbovu, maana dada zetu siku hizi wamejanjaruka na sio rahisi kuwatapeli.
 
Wapo mkuu ila tatizo ni kuwa huu utandawazi umesababisha muda mwingi tunakuwa mbali na jamii zetu.

Chukua likizo siku moja nenda home ukachukue kifaa kimojawapo. Kama una muda mrefu hujatia timu kwenu, basi kwa taarifa yako kwa sasa kuna vifaa bomba kichizi. Kama hujui maeneo basi kwa uchache ngoja nikusaidie.

Kwanza: Kuna mabinti kule Ugalla. Hawa ni mchanganyiko wa Wasukuma,
Wanyamwezi na Wapimbwe. Ni wazuri kweli kuliko wa Posta Mpya.

Pili: Kule Mpimbwe ndo usiseme. Mabinti wana Shape wale sijapata kuona.

Tatu: Pia unaweza kwenda Kwela. Pia kuna watoto bomba tu.

Nne: Ukitia timu Laela, unaweza kushindwa kuchagua kutokana na kila binti kuwa mzuri.

Tano: Nenda pia Nsimbo, MpandaNdogo, Inyonga, Karema, Kasanga na bila
kusahau Kabungu.

Kote huko hukosi demu wa kuoa badala ya kung'ang'ania mjini.
 
Mkuu nakushauri usali sana na uzidishe maombi maana mke mwema anatoka kwa Mungu shukuru hao walio kukimbia ni wachunaji tu na ungebahatika kumuoa mmoja usinge dumu nae

Mpwa bado naitafakari hii advaizi yako murua. Sijakugongea senks, nenda kathibitishe, kwa kuwa bado natafakari hii advaizi hujaikopi sehemu sehemu na kuipesti? Imekaa ki ZD ZD zaidi. Hahaha! Mpwa bana!
 
Chukua likizo siku moja nenda home ukachukue kifaa kimojawapo. Kama una muda mrefu hujatia timu kwenu, basi kwa taarifa yako kwa sasa kuna vifaa bomba kichizi. Kama hujui maeneo basi kwa uchache ngoja nikusaidie.

Kwanza: Kuna mabinti kule Ugalla. Hawa ni mchanganyiko wa Wasukuma,
Wanyamwezi na Wapimbwe. Ni wazuri kweli kuliko wa Posta Mpya.

Pili: Kule Mpimbwe ndo usiseme. Mabinti wana Shape wale sijapata kuona.

Tatu: Pia unaweza kwenda Kwela. Pia kuna watoto bomba tu.

Nne: Ukitia timu Laela, unaweza kushindwa kuchagua kutokana na kila binti kuwa mzuri.

Tano: Nenda pia Nsimbo, MpandaNdogo, Inyonga, Karema, Kasanga na bila
kusahau Kabungu.

Kote huko hukosi demu wa kuoa badala ya kung'ang'ania mjini.
Du mkuu unaijua mitaa ya nyumbani, nitaufanyia kazi ushauri.
 
sasa kwani lazima uoe? mbona inaelekea hao mabinti wako radhi
kuwa nawe bila ndoa. inabidi uridhike tu kubana na binti bila
kumuoa. halafu nasikia sheria inasema ukibana na mwali miaka
miwili ndo tayari mbele ya sheria ni wife huyo.
 
wewe unazungumza kufurahisha baraza...
wanaokukataa labda hawakwambii sababu halisi..
wafipa wengi wanaoa mpaka warabu na wahindi....
 
Naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!
hapo utakuwa unamdanganya huyo binti au unajidanganya mwenyewe?
hiyo option sio kabisa...
wewe mwenyewe unaishi wapi? kama uko town mambo ya kwenda kufuata mke kijijini ya nini sasa? kwanza yaweza kuwa ngumu hata katika mawasiliano, watoto wa kijijini mambo mengi hawayajui atakuboa mpaka basi!
mi nakushauri huyo 'binti' wako wa sasa mpe ukweli akikimbia basi, tafuta mwingine, utapata tu; na wewe una-hang out na watu gani? kuna mtu ana-mind kabila saa hii?!
 
Chukua likizo siku moja nenda home ukachukue kifaa kimojawapo. Kama una muda mrefu hujatia timu kwenu, basi kwa taarifa yako kwa sasa kuna vifaa bomba kichizi. Kama hujui maeneo basi kwa uchache ngoja nikusaidie.

Kwanza: Kuna mabinti kule Ugalla. Hawa ni mchanganyiko wa Wasukuma,
Wanyamwezi na Wapimbwe. Ni wazuri kweli kuliko wa Posta Mpya.

Pili: Kule Mpimbwe ndo usiseme. Mabinti wana Shape wale sijapata kuona.

Tatu: Pia unaweza kwenda Kwela. Pia kuna watoto bomba tu.

Nne: Ukitia timu Laela, unaweza kushindwa kuchagua kutokana na kila binti kuwa mzuri.

Tano: Nenda pia Nsimbo, MpandaNdogo, Inyonga, Karema, Kasanga na bila
kusahau Kabungu.

Kote huko hukosi demu wa kuoa badala ya kung'ang'ania mjini.
Du huko naona kuna akina Halle Berry watupu!. Funga safari fasta ukajinyakulie ki Halle Berry chako huko.
 
hao wadada unaowapata jamani ni wa wapi ambao mpaka leo wana imani hizo?....
Nyamayao..
mimi napenda kumsifu huyu ndugu maana inaelekea anachagua wadada makini sana WENYE kujali details na siyo kuanagalia wamepata mwanaume muoaji tu!
Kuhusu kuogopwa kwa kabila kusifika kwa uchawi, namshauri kwanza ikiwezekana apate wa hukohuko kwao...
Pili awe mtu wa maombi sana ili Mungu AMWANGAZIE MWANAMKE ATAYEWEZA KUKUBALI KUOLEWA NAYE.
 
Pole sana Katavi, kumbuka mke mwema utapewa na Bwana. Nenda kanisani huko wala hawachagui makabila na wala hawaogopi uchawi.
 
Hata mimi nashangaa, tena wengine wameenda kidato!

mkuu Katavi unanipa raha sana.we wakikuuliza kabila gani sema wewe ni kabila moja na rais..utaona wanavo tiririka.just tell them kuwa wewe ni mkwere pure
 
Naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!

oooh my god imani za uchawi jamani
mwambie tu ukweli unaweza kuta huyo ndo wa kwako ..lakini pole sana kwa mkasa huo
Kila shetani na mbuyu wake
 
uuuum hapo katika ukabila tena hapatoshi! tafuta tu utampata wa kabila lako tu
 
Back
Top Bottom