chachas mchina
Member
- Jan 2, 2012
- 33
- 0
ha ha haaaaaaa Potezea kabila yeye anakutaka wewe au anataka kabila!
Hii inanikumbusha Harusi moja ambapo baba mkwe baada ya kuombwa kutoa nasaha alisema kuwa yeye hana mengi ila hili moja kuwa " Ukiamua kuoa / kuolewa AMA ukiamua kutokuoa / kutokuolewa ujue kuna siku utajuta". Mzee wa kisukuma akaishia hapo na kukaa chini huku akiwaacha hoi waalikwa wote ikiwa ni pamoja na wazazi wazaa chema toka Moshi.
Siku akijua imekula kwako. Usisahau kuna mchango wako kwangu wa mnusoTatizo limeisha kaka, nimepata ambae hajauliza mambo ya kabila wala nini..
Tatizo limeisha kaka, nimepata ambae hajauliza mambo ya kabila wala nini..
Nyie mmedumu sana JF... Hongera zenu...
Hivi inawezekana mtu akaingia JF na akatoka na kuhama kabisa... Kuna blog iliyojipanga,kwa forums za kutosha kama hii Katavi?
"If you love someone let him/her go, if she/he doesn't come back she/he was not meant for you, if she/he comes back then she/he is yours" Msemo wa wahenga, kuwa mvumilivu mambo mazuri hayahitaji haraka. Ila ukweli ni kitu muhimu sana.
Anajua japo hajawahi kuuliza. Nikikamilisha mchakato nitakutaarifu ili nisiukose huo mchango wako.....lol!
Sijaona bado kama JF. Unatupongeza sisi kuwa tumedumu, kuna wakongwe tumewakuta na wanaendelea kudunda. Hakuna zaidi ya JF!
wewe unazungumza kufurahisha baraza...
wanaokukataa labda hawakwambii sababu halisi..
wafipa wengi wanaoa mpaka warabu na wahindi....