Kila nikimkumbuka moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?

Shalom,
Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki,
Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakua naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
Achana na hiyo habari!!!!
Mapz yamebaki ma 3 tu...
...Mapz ya Mungu
...Mapz ya Mama na
...Mapz ya Baba

Relax na mapigo ya moyo yatakuwa powa tu ....
 
Achana na hiyo habari!!!!
Mapz yamebaki ma 3 tu...
...Mapz ya Mungu
...Mapz ya Mama na
...Mapz ya Baba

Relax na mapigo ya moyo yatakuwa powa tu ....
Am sorry to hear your choice was bad, you can love the mentioned and still be deep to your mwandani.
 
Haya mambo bana mpaka upigwe na kitu kizito ndio akili hua inakaa sawa, unampenda mtu mpaka ukisikia jina lake unaweweseka? naona upo katikati ya giza na mwanga ngoja akusukumize gizani naamini utarudi na uzi mwingine hapa
 
Shalom,
Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki,
Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakua naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
Usiseme uongo ni dhambi. Moyo wako ungekuwa umepasuka, usingeweza kuyaandika hayo kwani marehemu hawezi kuandika.
 
Back
Top Bottom