Kila nikimkumbuka moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?

Ni mapenzi mkuu hasa ukizama sana. Mimi hata nikiona herufi ya jina lake nachanganyikiwa kabisa
 
Acha ujinga wewe,wewe msabato una siku?.

Sema kwa mujibu wa neno la Mungu,leo ni siku ya kwanza ya juma!

sanalii
 
Huo ni ugonjwa wa akili tena umefikia kiwango kibaya, fanya utaratibu ujitoe huko hatutaki kuongeza maangamizo ya idadi ya makatibu nchini

Nitarudia tena...
 
Shalom,
Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki,
Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakua naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
Huyo unampenda sana, omba na yeye awe anakupenda pia kinyume na hapo ni kujipa stress tu
 
Shalom,
Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki,
Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakua naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
Piga masta urud kwenye default kenge wew
 
Back
Top Bottom