Nipatie namba yake mkuu kizuri kula na wenzioNina ex wng nikiongea nae tu yeye anakua na hali iyo moyo unamuenda mbio mpk kuna mda unamuhic asa pumzi anavuta kwa shida ni pale mwanz tu ila kadir maongez yanapoongezeka anakuwa kawaida
Mwez ujao tareh 11 anaolewa mkuu 😂Nipatie namba yake mkuu kizuri kula na wenzio
Kwhy unapiga za mwishomwishoMwez ujao tareh 11 anaolewa mkuu 😂
Hmn nongea nae tu just stori nimeacha kumla kama miez 2 nyuma ivi 😂 ila wanawake hawa ni nomaa ukiona ivo anavyompamba bwana wake kwa status halaf uku kimya kimya kinyama nakila huwa nachokaKwhy unapiga za mwishomwisho
Hajakutana na kipigo mKuu atakuja upesi upesi kufuta huu uzi,tumpe muda (miezi 6) halafu tutarudi kuutafta huu uzi kama utakuwepo .Haya mambo bana mpaka upigwe na kitu kizito ndio akili hua inakaa sawa, unampenda mtu mpaka ukisikia jina lake unaweweseka? naona upo katikati ya giza na mwanga ngoja akusukumize gizani naamini utarudi na uzi mwingine hapa
Atarudi tu anachechemea na matusi yakutoshaHajakutana na kipigo mKuu atakuja upesi upesi kufuta huu uzi,tumpe muda (miezi 6) halafu tutarudi kuutafta huu uzi kama utakuwepo .
Huo ni ugonjwa wa kizungu unaitwa Anti-virusShalom,
Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki,
Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakua naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
Una matatizo ya saikolojiaSijui kama ni ugonjwa ila haupo peke yako.
Ok nothing is permanent but let's enjoy the moment, why should i bother thinking about negative future instead of enjoy the current love flow?Siku zote ukimfanya binadamu kuwa chanzo cha furaha yako lazima kuna siku utaumia tu.
Huyo anaeonyesha kukupenda sana kukujali leo kuna siku atakubadilikia hutaamini kama ni yeye.
Everything changes, nothing is permanent, the only thing which is permanent is change itself.
Is this supposed to be fun or sad story? Achana na mali za watuHmn nongea nae tu just stori nimeacha kumla kama miez 2 nyuma ivi 😂 ila wanawake hawa ni nomaa ukiona ivo anavyompamba bwana wake kwa status halaf uku kimya kimya kinyama nakila huwa nachoka
Time will tell....wakati huo moyo unataka kuchomokaMmh acha uchawi bas, know that some loves are heavily made, we are here for better and for worse
Nimeacha mkuuIs this supposed to be fun or sad story? Achana na mali za watu
😂😂😂Hajakutana na kipigo mKuu atakuja upesi upesi kufuta huu uzi,tumpe muda (miezi 6) halafu tutarudi kuutafta huu uzi kama utakuwepo .