Mungu anipe moyo wa chuma

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,449
3,420
Yani ile siku hata nikiona text isiyoelewaka katika simu yake nisipanic, nimuulize tu nani huyu? asiponipa majibu yakueleweka hata isiniumize kichwa nilale kwa amani kabisa asubuhi niamke niende katika mishe zangu huku maamuzi ya busara ya kumuacha yakiwa njiani

Mungu anipe moyo wa chuma hata ile siku akiniambia kama vipi niache isiniumize kichwa hata kidogo, na nimuulize upo sirias unahitaji nikuache? Ikiwa jibu ndio basi hata nisisite kufanya hayo maamuzi ya busara

Mungu anipe moyo wa chuma usioendeshwa na kitu mapenzi hata kiduchu
Mungu anipe moyo wa chuma wa kuwa tayari kupokea matokeo yoyote mda wowote,
Yani ikisemwa it's over, it's over hakuna haja ya kwenda kumzonga muamuzi tena sijui mbona dakika chache

Mungu anipe moyo wa chuma niweze yafurahia maisha bila ya expectation yeyote kwa mtu fulani,
Maisha ni mafupi haya, sisi binadamu hatutabiriki hata sekunde mbili

Mungu anipe moyo wa chuma Mimi Ndugu Bwana Fene,
Wanajf tuseme Ameeen
 
Screenshot_20221003-150930~5.jpg
 
Yani ile siku hata nikiona text isiyoelewaka katika simu yake nisipanic, nimuulize tu nani huyu? asiponipa majibu yasioeleweka hata isiniumize kichwa nilale kwa amani kabisa asubuhi niamke niende katika mishe zangu huku maamuzi ya busara ya kumuacha yakiwa njiani

Mungu anipe moyo wa chuma hata ile siku akiniambia kama vipi niache isiniumize kichwa hata kidogo, na nimuulize upo sirias unahitaji nikuache? Ikiwa jibu ndio basi hata nisisite kufanya hayo maamuzi ya busara

Mungu anipe moyo wa chuma usioendeshwa na kitu mapenzi hata kiduchu
Mungu anipe moyo wa chuma wa kuwa tayari kupokea matokeo yoyote mda wowote,
Yani ikisemwa it's over, it's over hakuna haja ya kwenda kumzonga muamuzi tena sijui mbona dakika chache

Mungu anipe moyo wa chuma niweze yafurahia maisha bila ya expectation yeyote kwa mtu fulani,
Maisha ni mafupi haya, sisi binadamu hatutabiriki hata sekunde mbili

Mungu anipe moyo wa chuma Mimi Ndugu Bwana Fene,
Wanajf tuseme Ameeen

Mungu alipokuumba kama mwanaume alikupa kila unachoitaji, udhaifu wowote ni matokea ya malezi
 
Mungu anipe moyo wa chuma usioendeshwa na kitu mapenzi hata kiduchu
Mungu anipe moyo wa chuma wa kuwa tayari kupokea matokeo yoyote mda wowote,
Yani ikisemwa it's over, it's over hakuna haja ya kwenda kumzonga muamuzi tena sijui mbona dakika chache
Ukiona umefika stage hii ujue we ni mala.yer… yan hujali na hutopata maumivu mkitengana sababu utakuwa umejaza costa huko nyuma inakusubiri
 
Hebu jaribu kutafakari Kuna binti ulimuacha katika hali ambayo yeye alikuhitaji ila ukasema najipooza tu sina malengo naye, sasa inakuaje pale ambapo na wewe umepata unayehisi ni malengo yako kumbe naye anakuona wewe ni kupitisha muda, kabla ya kulia unatakiwa kufikiria yametokeaje
 
Ni kufuta vumbi na kusonga mbele, ila hii ya kuambiana/kuambiwa huwa siipendi sana, ile ya kimya kimya inapunguza machungu. Ulizoea text asubuhi, mara inaingia saa8 unajisemea tu hapa hamna shughuli, mara siku-24hrs zimekata hamna hello wala 👋, unapigia jibu lako mstari na kusonga mbereeee.
 
Back
Top Bottom