Kila nikikumbuka naumia sana

Kila nikikumbuka naumia sana

Mbona mugabe ana piga kazi kama kawaida...!!! Ha haa...
Na anamke mzurii
1452391781546.jpg
 
Ndo ujitahidi upige sana kabla jua halijazama
Let me caution you Madame, kifanyio expiring date haipo ila kinaexpire kwa frequencies. Ukikitumia sana kinaexpire mapema. Uliza WA zamani wakueleze jinsi kibosile mmoja enzi za Mwalimu WA NBC alivyokuwa anakitumia. Mpaka anakufa alikuwa kishaexpire siku nyingi. Mwanaume unashauriwa kutofanya sana ili hata ukifika 90 jogoo liwe linawika.
 
90 unamchapia nani mjini hapa, 90 ubaki kupigwa busu tu na watoto wa mjini huku wanakulia mafao yako
 
Kula utamu mapema nasikia ukifa nyenyere wanaanzia kula huko
 
Mimi nawaza Mungu angeweka maisha bila hizi mambo dunia ingekua mahali salama sana
 
Kwamba kifanyio kina expiry date... Hiki kitu kinaumiza mno! Kwamba hakuna kufanya utundu tena wala kuruka ruka naumia sana tena sana! Kama kungekuwa na jinsi ya kuichakachua hii expire date nafikiri wengi sana wangechakachua
sema na nyie wapare mnapenda sana kuingiziana makojoleo
 
90 unamchapia nani mjini hapa, 90 ubaki kupigwa busu tu na watoto wa mjini huku wanakulia mafao yako
uliza shughuli wazipatazo wenzako wanaotembea Na vibabu. Muulize klyn. At 90 utakojozwa mara 6 yeye bado hajamaliza hata kimoja
 
Labda wazee wa zamani sio hawa wazee wanaokula soseji na hivi visukari vya umri mdogo ndo basi kabisa ukipiga vipampu 20 we bingwa yule mzee pale hamna kitu utakuta klyn bdo anatoa machozi
 
Kwamba kifanyio kina expiry date... Hiki kitu kinaumiza mno! Kwamba hakuna kufanya utundu tena wala kuruka ruka naumia sana tena sana! Kama kungekuwa na jinsi ya kuichakachua hii expire date nafikiri wengi sana wangechakachua

Pole sana bwana kalumanzila, ila wewe si ndio mtaalamu? Unai-update tu.
 
Wala aibu na umri havina mahusiano mbona???
Inategemeana na mazingira. Kama uko peke yako unaangalia tv then wakaanza kufanya yao hutoona aibu, lakini kama upo na wakubwa zako lazima uzuge unaangalia pembeni na kujikoholesha.
 
Back
Top Bottom