Kila nikikumbuka naumia sana

Kila nikikumbuka naumia sana

Kaka watu husaidiana....kama chako kita expire ili hali cha mwenzio bado usihofu tutakusaidia
 
Nimeambiwa ukila nyama ya nyoka na thupu yake kifaa kinajirenew kila baada ya muda fulani, sasa wee Subiri ufike wakati halafu kibinti kinione mii kibabu
hahaaha kikishoka kimechoka tu hata unywe supu ya mamba
 
S
Kwamba kifanyio kina expiry date... Hiki kitu kinaumiza mno! Kwamba hakuna kufanya utundu tena wala kuruka ruka naumia sana tena sana! Kama kungekuwa na jinsi ya kuichakachua hii expire date nafikiri wengi sana wangechakachua
SIO BURE UTAKUWA NI JIPU TU WEWE
 
Mbona nasikia kuna ile law ya USE AND DISUSE kwani hapa haitumiki????
 
Huo umri ukifika kifanyio hakitokua na kipaumbele kwako kama ilivyo sasa, utakiacha tu kiexpire kwa amani Lol
 
ha ha haha mtani mimi sisemi bora zetu hazina mbwe mbwe itaingizwa tu ha hahaha
Iingie wapi wakati mnaloose ile hamu yote. We hujawahi kuona kibibi na kibabu vinagombana kisa kibibi hakitaki kutoa mzigo wakati babu anataka. Ukimuuliza bibi kwanini humpi babu atakwambia mi sijisikii
 
Iingie wapi wakati mnaloose ile hamu yote. We hujawahi kuona kibibi na kibabu vinagombana kisa kibibi hakitaki kutoa mzigo wakati babu anataka. Ukimuuliza bibi kwanini humpi babu atakwambia mi sijisikii
Hamu tunakosa lakin pale hapazibi unaweza kuingiza ukikomaaa.. Ila nyie mpaka ipande mnara ndiyo inaingia
 
Back
Top Bottom