Kila nikiamka

sasa hiyo miradi utaiandaa vp wakati watoto bado wanasoma, huwezi kuwa sawa na yule aliyeoa na aliyezaa mapema ambaye ktk age zile za ukingoni anaweza kujipanga vizuri muda mzuri wa kulea watoto ni wakati una nguvu za kufanya kazi sio unalea watoto kama wajukuu huo umri wa miaka 34 bila mke ni issue kibongo bongo kwa sababu ya umaskini wetu tunaona kama sawa lakini si sawa

Miradi unakuwa nayo kabla hata ya kuwa na watoto wewe mbona huelewi???????
 
MJ, you have said it all. Tatizo la vijana wengi ni kujidanganya kuwa ili waoe ni mpaka wajiandae kiuchumi (yaani anunue gari, kiwanja, sofa za kisasa etc). Utakuta kijana anakipato cha kutosha kujitegemea lakini eti kwa sababu hajanunua vitu fulanifulani anaona muda wa kuoa bado. Matokeo yake vijana wanajikuta wakifanya uhuni na kuharibu maisha yao.

Hapo kwenye bold ndio maandalizi ya uchumi wa familia..........................kweli umasikini ni kitu kibaya hata luxuries mnageuza kuwa necessities!

Isitoshe matunda ya kuoa ni kuwa na watoto ingawa si lazima uwe nao; asa leo hata mmoja huna utawalea ka wajukuu na ndio mwanzo wa kuharibikiwa kwao...............maana nguvu za mikiki na wao wewe hutakuwa nazo!
 
Hapo kwenye bold ndio maandalizi ya uchumi wa familia..........................kweli umasikini ni kitu kibaya hata luxuries mnageuza kuwa necessities!

Umasikini jeuri!! Pia mie ningetegemea kuwa miradi ya kuingiza kipato ndo kujiandaa kiuchumi! Sasa sofa la kisasa litakuingizia sh ngapi mmmmh
 
MJ, you have said it all. Tatizo la vijana wengi ni kujidanganya kuwa ili waoe ni mpaka wajiandae kiuchumi (yaani anunue gari, kiwanja, sofa za kisasa etc). Utakuta kijana anakipato cha kutosha kujitegemea lakini eti kwa sababu hajanunua vitu fulanifulani anaona muda wa kuoa bado. Matokeo yake vijana wanajikuta wakifanya uhuni na kuharibu maisha yao.
Na usishangae ana demu kamnunulia makochi, TV, makabati etc!
 
Hapo chacha! Na kwa bahati mbaya huwa hawafanikiwi kuwa tayari maana hata wale mabinti wanowafikiria kuwarushia kamba nao huwa nao wanaendelea kujiandaa, hivyo basi kila kijana akipiga chabo anakuta binti yupo mbele kinoma kijana wa kiume anarudi tena kwenye mchoro...miaka inaenda

haswaaaa,afu mnashangaa kwanini binti adi leo hajaolewa,mara anachagua sana,mara analinga (kibongo)
 
Wakuu habarini??
Mimi ni kijana wa miaka 34 bado sijaoa ila nina GF na huwa tunakutana kama mara 4 ama 5 kwa mwezi, Sasa tangu mwaka huu uanze kila nikiamka mtinange nao unaamka juuu unasimama kwelikweli kama dk 15 hivi ndo unarudi kawaida, sasa hii huwa inanitesa sana maana inabidi nikae dk hizo 15 kusubiri upoe ili nikapige bafu maana siwezi kutoka kwenda kupiga bafu watu ninao kaa nao unaweza kutana nao wakaona kitu kimetunisha nguo! Na je hii ni dalili ya kuoa sasa???

...34 years Old man Question. Mnh,
Inasikitisha sana.
 
Nakupa dada yangu bureeee.
Nataka ndugu kutoka jamii forums mwaka huu
wakuu habarini??
Mimi ni kijana wa miaka 34 bado sijaoa ila nina gf na huwa tunakutana kama mara 4 ama 5 kwa mwezi, sasa tangu mwaka huu uanze kila nikiamka mtinange nao unaamka juuu unasimama kwelikweli kama dk 15 hivi ndo unarudi kawaida, sasa hii huwa inanitesa sana maana inabidi nikae dk hizo 15 kusubiri upoe ili nikapige bafu maana siwezi kutoka kwenda kupiga bafu watu ninao kaa nao unaweza kutana nao wakaona kitu kimetunisha nguo! Na je hii ni dalili ya kuoa sasa???
 
Miili ya wanaume huzalisha testosterone usiku wakati tumelala. Kwa hiyo tukiamka asubuhi tunakuwa na elevated levels za hiyo testosterone ambayo ndio homoni ya kiume na ndicho kinachosababisha uume kusimama asubuhi. Ukishaoga na kuanza pilikapilika zako za kila siku, viwango vya homoni hiyo vinashuka.
 
Sa kama hujapata the right one uoe kwa minajili ya kufukuzana na umri!!

Unaweza ukawa na watoto katika age ya 22 lakini wakawa majambazi,wabakaji na etc.

Unaweza ukazaa katika age ya 20 lakini ukafa katika age ya 25. Mtoto wako atasomeshwa na nani?

Msiwe kama hamna matumaini kuwa kuna mungu. Yaani unadiriki kumpagia |Mungu eti nizae katika age ya 30 ili nikistaafu niwalee watoto vizuri.
Kwenye bibo kuna mshikaji alitafuta utajiri baada ya kuupata akasema sasa ni muda wa kula na kunywa. Mungu akamwambia " Mpumbavu wewe, leo nachukua roho yako".

Mambo yote ni mipango ya Mungu.
 
Natamani ushauri huu ausome my BF, mana I like marriage bt he's not ready
Mkishaanza kuzitazama ndoa kwa miazania ya kiuchumi ndo hapo mnafikisha mpaka 40 bado mna bung'aa hey now is the right time kama hukujipanga back then; mwenzio akija atakusaidia kupanga!

Acheni ku cmplicate mambo................mnajipanga kufanyaje ............kuinunua BOT? ama?:yawn:
 
My ndugu, mipango ya mungu ipo tu kote na kila siku, sema tu na mhusika mwenyewe hadi awe na nia hiyo haswa ya kuoa. Si unajua wengine hamna huo mpango na hamko wawazi pia? Basi ndo inakuwa tafrani yake hiyo.
Sa kama hujapata the right one uoe kwa minajili ya kufukuzana na umri!!

Unaweza ukawa na watoto katika age ya 22 lakini wakawa majambazi,wabakaji na etc.

Unaweza ukazaa katika age ya 20 lakini ukafa katika age ya 25. Mtoto wako atasomeshwa na nani?

Msiwe kama hamna matumaini kuwa kuna mungu. Yaani unadiriki kumpagia |Mungu eti nizae katika age ya 30 ili nikistaafu niwalee watoto vizuri.
Kwenye bibo kuna mshikaji alitafuta utajiri baada ya kuupata akasema sasa ni muda wa kula na kunywa. Mungu akamwambia " Mpumbavu wewe, leo nachukua roho yako".

Mambo yote ni mipango ya Mungu.
 
Miili ya wanaume huzalisha testosterone usiku wakati tumelala. Kwa hiyo tukiamka asubuhi tunakuwa na elevated levels za hiyo testosterone ambayo ndio homoni ya kiume na ndicho kinachosababisha uume kusimama asubuhi. Ukishaoga na kuanza pilikapilika zako za kila siku, viwango vya homoni hiyo vinashuka.

Senkyu Dr. Nyani Ngabu (MD...,)

Majibu mazuri - Lile somo letu la "Clinical" naona ulipata A+

Kwenye mada: Kimbweka, siku ukiamka asubuhi na "kitu" kikawa kimelala nenda hospitali haraka, otherwise, kwa sasa you look "very healthy". Lakini pia nakushauri umwambie GF at least mkutane mara 10 kwa mwezi: At the age of 34 and you have not married, it tells me kwamba ukiendelea hivyo unaweza siku moja "kubaka"! You have a LOT "unused testosterone" and this isn't good either.
 
Miaka 34 hujaoa? hapo kuna tatizo ndg yangu fanya haraka uoe sielewi unasubiri nini mpaka umri huo. Mke ni muhimu sana kwenye kuweka maisha sana na pia wanasaidia sana kuweka dira katika maisha. Ni washauri wazuri kuhusu maendeleo na mipango kwa ujumla. Gharama za kuishi na girl friend ni kubwa sana ukilinganisha na kuwa na mke

Mke ndio anakushauri kujenga na pia ni wasimamizi wazuri sana kwenye mambo kama hayo na pia wako sensitive sana na bei tofauti na w/ume hiyo husaidia kubana matumizi na kufikia malengo makubwa sana katika umri mdogo

Kwa sasa una miaka 34 tuchukulie utaoa mwakani ukiwa 35 ukijakupata mtoto akifika miaka 10 wewe unakuwa 45 akifika 20 (umri wa kuwa chuo kikuu) wewe unakuwa 55 umri wa kustaafu kwa hiari sasa uoni kuwa huyo wa kwanza tu atakugharimu kimasomo muda wako waote unapokuwa unafanya kazi achilia hao watoto watakaozaliwa baadae. Oa haraka sana kabla hujachelewa zaidi kitaalamu ilitakiwa ukiwa 50 watoto wote wawe wamemaliza chuo kikuu ili hela unayopata ijuandae kwa ajili ya kustaafu, kwa wewe hilo umeshachelewa siku unapostaafu ujue last born ndio anamaliza form six sasa sijui chuo atalipiwa na nani

Mkuu Heshima Mbele,
Tofautisha vitu viwili, kuoa na kuwa na mtoto, huyo jamaa anakwambia anamegaga kwa kila mwezi mara nne au tano, sasa unajuaje hana mtoto na yeye hajasema hivyo, mbona unamsemea?,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom