Kila nikiamka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila nikiamka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Aug 5, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wakuu habarini??
  Mimi ni kijana wa miaka 34 bado sijaoa ila nina GF na huwa tunakutana kama mara 4 ama 5 kwa mwezi, Sasa tangu mwaka huu uanze kila nikiamka mtinange nao unaamka juuu unasimama kwelikweli kama dk 15 hivi ndo unarudi kawaida, sasa hii huwa inanitesa sana maana inabidi nikae dk hizo 15 kusubiri upoe ili nikapige bafu maana siwezi kutoka kwenda kupiga bafu watu ninao kaa nao unaweza kutana nao wakaona kitu kimetunisha nguo! Na je hii ni dalili ya kuoa sasa???
   
 2. JS

  JS JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Dalili kuwa wewe ni mwanaume rijali hakuna hata chembe ya wasiwasi hapo. kitu kiko mwake Kimbweka.

  Lakini pia miaka 34 ndo wakati mzuri wa kuoa kama mambo yako yamekaa sawa na umejipanga kuoa wakati/umri huu.
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kaka oa; wacha kujiiba na kujinyima; ukiwa nae hapo ukiamka anaushika na kuuppoza kwa blowjob pia hata kukutomasa sio lazima mdo kila wakati na kusimama ni haki yake we si Mwanaume bana!?
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mkishaanza kuzitazama ndoa kwa miazania ya kiuchumi ndo hapo mnafikisha mpaka 40 bado mna bung'aa hey now is the right time kama hukujipanga back then; mwenzio akija atakusaidia kupanga!

  Acheni ku cmplicate mambo................mnajipanga kufanyaje ............kuinunua BOT? ama?:yawn:
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Point taken
   
 6. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  MJ, you have said it all. Tatizo la vijana wengi ni kujidanganya kuwa ili waoe ni mpaka wajiandae kiuchumi (yaani anunue gari, kiwanja, sofa za kisasa etc). Utakuta kijana anakipato cha kutosha kujitegemea lakini eti kwa sababu hajanunua vitu fulanifulani anaona muda wa kuoa bado. Matokeo yake vijana wanajikuta wakifanya uhuni na kuharibu maisha yao.
   
 7. JS

  JS JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa MJ mambo yote yanaenda kwa plans bana sio kukurupuka tu hata kama umri ndo umefika ingawa umri nao una sehemu yake. na sio kiuchumi tu kwenye kujipanga hata kimaisha kama yuko tayari kuishi na mtu mmoja tu for the rest of his life time. na kama pia kapata mtu ambaye yuko tayari kuishi naye maana si ajabu huyo aliye naye hayuko tayari kuwa mke wake. it all lies between them if they are ready to live together forever.
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kaka si unajipanga kupokea wageni duniani kwani unajipanga nini tena
   
 9. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2010
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo chacha! Na kwa bahati mbaya huwa hawafanikiwi kuwa tayari maana hata wale mabinti wanowafikiria kuwarushia kamba nao huwa nao wanaendelea kujiandaa, hivyo basi kila kijana akipiga chabo anakuta binti yupo mbele kinoma kijana wa kiume anarudi tena kwenye mchoro...miaka inaenda
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Binti akiwa mbele zaidi kinoma si ndo poa zaidi sioni baya hapo
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Huna tatizo lolote 34 yrs inatosha kwako kuwa na wife.
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Haya jiandae kadi ya mchango hehehe:love:
   
 13. RR

  RR JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Ukiona unaamka halafu mshkaji hajaamka....basi we kwisha jeuri yako....hata ukioa...au umechelewa kubalehe?? Its a normal routine kaka, though muda unatofautiona.
   
 14. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umepitiliza 34!
   
 15. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,512
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Miaka 34 hujaoa? hapo kuna tatizo ndg yangu fanya haraka uoe sielewi unasubiri nini mpaka umri huo. Mke ni muhimu sana kwenye kuweka maisha sana na pia wanasaidia sana kuweka dira katika maisha. Ni washauri wazuri kuhusu maendeleo na mipango kwa ujumla. Gharama za kuishi na girl friend ni kubwa sana ukilinganisha na kuwa na mke

  Mke ndio anakushauri kujenga na pia ni wasimamizi wazuri sana kwenye mambo kama hayo na pia wako sensitive sana na bei tofauti na w/ume hiyo husaidia kubana matumizi na kufikia malengo makubwa sana katika umri mdogo

  Kwa sasa una miaka 34 tuchukulie utaoa mwakani ukiwa 35 ukijakupata mtoto akifika miaka 10 wewe unakuwa 45 akifika 20 (umri wa kuwa chuo kikuu) wewe unakuwa 55 umri wa kustaafu kwa hiari sasa uoni kuwa huyo wa kwanza tu atakugharimu kimasomo muda wako waote unapokuwa unafanya kazi achilia hao watoto watakaozaliwa baadae. Oa haraka sana kabla hujachelewa zaidi kitaalamu ilitakiwa ukiwa 50 watoto wote wawe wamemaliza chuo kikuu ili hela unayopata ijuandae kwa ajili ya kustaafu, kwa wewe hilo umeshachelewa siku unapostaafu ujue last born ndio anamaliza form six sasa sijui chuo atalipiwa na nani
   
 16. RR

  RR JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Umejuaje FL1....
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hivi wewe unafikiria kuajiriwa tu na kustaafu, si mtu unaendesha miradi yako na mapesa ya chuo unakuwa nayo! Hii sioni kama ni kuchelewa kabisa
   
 18. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,512
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  sasa hiyo miradi utaiandaa vp wakati watoto bado wanasoma, huwezi kuwa sawa na yule aliyeoa na aliyezaa mapema ambaye ktk age zile za ukingoni anaweza kujipanga vizuri muda mzuri wa kulea watoto ni wakati una nguvu za kufanya kazi sio unalea watoto kama wajukuu huo umri wa miaka 34 bila mke ni issue kibongo bongo kwa sababu ya umaskini wetu tunaona kama sawa lakini si sawa
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  inawezekana unakuwa umebanwa na mikojo!
   
 20. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hebu ni pm nikupe maelekezo:yawn::A S-key:
   
Loading...